Mimi ni mbinafsi????

Najibu heading wewe ni mbinafsi sana, tena sana.
 

Thanks kaka kweli inauma sana ndo maana nimeileta hii mada, mwanzoni nimejihisi kwamba watu watahisi mimi ni mbinafsi niliwatendea wnzangu kitu kibaya hivyo naogopa kutendewa, lakini kiukweli hawa watoto tunawaonea sana, tubadirike
 
Kwa hiyo unaogopa mwanao kuliwa na mwingine!!!
Waombee wanao, tena uombe bila kukoma
 
Saivi umeujua ukweli so usiogope hapa hamna yale mambo ya ukipigwa kofi geuza upande wa pili.i swear mapema utaanza kujutia dhambi ulizofanya mzee watu wataanza kupiga papuch ya mwanao akiwa mtoto xana hii itakufundisha kuwa if you will get another chance dont do shits.sasa omba sana ili jinamizi liache kukuandama
 
Kwa hiyo unaogopa mwanao kuliwa na mwingine!!!
Waombee wanao, tena uombe bila kukoma

Siyo kwamba naogopa wanangu kuliwa, nadhani nimekuwa mtu mzima nimegundua kwamba watoto wanahitaji ushirikiano mkubwa na watu wazima woote ili wasonge mbele
 
Oooh! basi omba kwaajili ya wanao na familia yako kiujumla
Mungu tu ndiye ataye wasaidia na kuwalinda na kila aina ya uovu


Siyo kwamba naogopa wanangu kuliwa, nadhani nimekuwa mtu mzima nimegundua kwamba watoto wanahitaji ushirikiano mkubwa na watu wazima woote ili wasonge mbele
 

Siwezi kurudia ujinga kaka, tushirikiane kuwalea watoto jamani
 
ha ha haa ushakua sasa,mla cha mwenziwe..................................
 
Usihofu mkuu hiyo ni hali ya kawaida tu maana baba hata awe kipanga vipi automatically ikitokea mwanae amefuata utaratibu wa ukipanga kama yeye mara nyingi huwa hafurahii, kikubwa chukua kama funzo kwa yaliyotokea siku za nyuma na endapo itatokea mwanao amegegedwa basi usikasirike badala yake uangalie namna gani ya kumrekebisha ili isitokee tena maana hata wewe ulipitia huko
 
mimi nipo mstari wa mbele kwa hilo.
hakuna kitu nachoumia kuona mbaba anadate na mtoto mdogo,anamrubuni na vichips,ice cream, 5000Tsh,na huku anaelewa kuwa anamharibu mtoto wa mwenzie,jamen...... jamen....... jamen........... jamen......siku ikifika utakuwa na binti na wewe then you will feel the pain,ila kwakuwa unajutia kosa umesamehewa but keep praying sir.Good luck kumlea huyo mtoto wetu
 
Mimi siyo mbinafsi ndugu yangu tukiacha kutembea na watoto wa shule ni faita kwa Taifa zima

Tuko pamoja mkuu, nami nina mabinti zangu 2 nataka kuwalea ili atakaye wapate apate mke kama mimi nilivyompata mama yao.
 
akikua huyo bora hata unipe mimi nitakua nafanya kistaarabu
 

mkuu sababu zilizokufanya wewe utembee nao ndo hizo hizo zinazowafanya na wengine watembee na hao watoto
 

Mmadenyi usiwe mkali, yaliyopita si ndwele, tunachotakiwa ni kujua kwamba ile siyo tabia nzuri tubadirike
 
Last edited by a moderator:

Hii lugha siyo ya mzazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…