Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 77,091
- 165,243
Designer hebu atleast sema hata bei ya makadirio kuwa unarange kuanzia kiasi flani (kima cha chini) nisijekukuita na vihela vya mawazo nikaishia kujitia aibu..... Please kama hautajaliNdio nachaji, nauli tu
Uwezi kukadiria, au ww kadiria ukubwa wa dirisha lako then ndo naweza kukadiria mm, yaan niambie ukubwa wa dirisha lako. Fanya hv pima urefu toka mwisho wa dirisha hadi chini (floor) na upana mwshi wa dirisha hadi side mwingineDesigner hebu atleast sema hata bei ya makadirio kuwa unarange kuanzia kiasi flani (kima cha chini) nisijekukuita na vihela vya mawazo nikaishia kujitia aibu..... Please kama hautajali
Okay ahsante, basi nasave namba nikakujulishaUwezi kukadiria, au ww kadiria ukubwa wa dirisha lako then ndo naweza kukadiria mm, yaan niambie ukubwa wa dirisha lako. Fanya hv pima urefu toka mwisho wa dirisha hadi chini (floor) na upana mwshi wa dirisha hadi side mwingine
SawaOkay ahsante, basi nasave namba nikakujulisha
Hauombi kazi? seriously? Sasa hili bango la kazi gani?!...duh!Siombi kazi, haina haja ya kujua nimesomea wapi nimetuma picha ili uone kazi yenyewe.
Mwache mwenzio atafute riziki kwa jasho lake. Kwani kamuibia mtu? Kazi yake nzuri hata kama hajasoma. Wewe unataka uzuri wa kazi au cheti chenye first ?Hau
Hauombi kazi? seriously? Sasa hili bango la kazi gani?!...duh!
Interior design ni profession, siyo kuuza mapazia na masofa ukajiita interior designer.
Bei gani kwa 1m?
Mwache mwenzio atafute riziki kwa jasho lake. Kwani kamuibia mtu? Kazi yake nzuri hata kama hajasoma. Wewe unataka uzuri wa kazi au cheti chenye first ?
Njoo inbox fasterMimi ni interior designer , mambo ya mapazia sofa ,
Tuwasiliane 0785462949.
Karibuni
Nafanya vipimo alafu ndio naweza kukuambia bei MkuuBei gani kwa 1m?
Huu mzigo nimepata mteja kutoka humu humu jf
Ntakutafuta nimehamasika.
Karibu sanaNtakutafuta nimehamasika.
hii bei gani
Napima dirisha, Ndipo nitajua inaingia kitambaa mita ngap?hii bei gani
sawa nashukuruNapima dirisha, Ndipo nitajua inaingia kitambaa mita ngap?
Maana nashona mwenyewhii bei gani
Kiongozi umependa kazi yangu au hujapenda?Hiyo Tittle uliyojipa ni kubwa sana wenzio wanaisotea miaka mitano,kwa usahihi ulipaswa kusema wewe ni mpambaji!