mkulukunde
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 313
- 199
Huo mzigo ni wa hapa hapa bongo
Hongera sana! Inapendeza sana! Bei inakuwaje? ThxHizo kazi zote ni kwa mikono yangu
Mimi nataka uniwekee curtain rail tu unafanya bei gani? Unaweza kuweka design zake. Mapazia type hio kwenye picha.
Mimi nataka uniwekee curtain rail tu unafanya bei gani? Unaweza kuweka design zake. Mapazia type hio kwenye picha.
Mkuu nichek hapa 0656 698232 tuongee kiwanja chako cha buyunNipe bei ya Curtain Rail.
Mimi mwenyewe nauliza bei ya curtain rail na wewe unaniuliza bei?! Mimi mnunuzi sio designer.Nipe bei ya Curtain Rail.
Mkuu hivi viti bei yake ngapi?
Hongera sanaHizo kazi zote ni kwa mikono yangu
Ndio nachaji, nauli tuhongera nitakutafuta mkuu je ukija unachaji?
Siombi kazi, haina haja ya kujua nimesomea wapi nimetuma picha ili uone kazi yenyewe.Wewe ni nani hasa, ni fundi wa furniture, ni muuzaji wa furniture na mapazia. Au ni interior designer? Kama ni interior designer umesomea wapi na kwa ngazi gani?