Glas
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 1,242
- 1,193
Hello guys,
Habari za jioni hii. Bila kupoteza muda wakuu nimekaa na nimetafakari nikaona niingie humu na hili jambo langu. Nia ya kufanya hivi ni katika kujikwamua kiuchumi kwa kutumia kile nilichopewa na Mungu.
Namshukuru Mungu nimezaliwa nikiwanna kipaji cha kutunga, kuandika na kuimba nyimbo. Kipaji hiki kiligunduliwa na kuanza kukitumia tangu nikiwa primary, tunajua namna ya safarI ya masomo kwa system ya elimu yetu kwakweli nikashindwa kukomaa zaidi kwenye kipaj changu ilibdi nisome maana hmna aliyewahi nielewa nilipoelezea kuhusu kukomalia hiki kipaji changu.
Mungu mwema nimemaliza degree ya sanaa na Elimu lakini mtaani kugumu hela ni ngum kuigenerate. Sasa nimekuwa natunga nyimbo kwa waya mbali mbali lakin kama mjuavyo wa "kwenu hupenda unafuu" najikuta sipat saana kupitia hilo hvyo nimewaza kupanua wigo kujaribi kutafuta watu wengine ambao wanaweza hitaji kuandikiwa nyimbo au melody kwa ajil ya kuimba.
Naamn na najua pia sio wote wanaoweza kuimba na kucompose. Hivyo naamin kupitia humu. Ni sehemu ambayo mm naiamin sana. Imenisaidia mengi sana kwa maisha haya, hasa ujasiriamali.
Naandika hili humu ili nisaidiwe connections. Nina huo uwezo na naamin Mungu alinipa ili niishi kupitia hilo pia. Natanguliza shukurani. Nimeona wengi wakisaidiwa mawazo na connections, naamini nami nitasaidiwa.
Natanguliza shukurani zangu za dhati