-Kufumba na kufumbua Invisible anakulima ban ya mwezi kwa sababu avatar yako si adilifu......natania tu wajemeni...
-Ridhwani Kikwete anateuliwa waziri wa wizara mpya ya Vijana na Ujasiriamali.........natania tu.......
-natania tu...........Phillip Mangula anamshauri Kinana ajiuzulu ukatibu mkuu ccm kwa sababu yeye (Kinana) ni mzigo.....huo ni utani tu jamani.
-Mwaka 2015 Ridhwani anagombea urais na anashinda.....oh, natania tu.
-@Quotes master anateuliwa mod wa jukwaa la utani .......natania wajemeni.
Rumba ni wewe umelianzisha. Nimenogewa nkacheza!hahahah!...mtani kweli utani unaujua asee!...
-Kufumba na kufumbua Invisible anakulima ban ya mwezi kwa sababu avatar yako si adilifu......natania tu wajemeni...
-Ridhwani Kikwete anateuliwa waziri wa wizara mpya ya Vijana na Ujasiriamali.........natania tu.......
-natania tu...........Phillip Mangula anamshauri Kinana ajiuzulu ukatibu mkuu ccm kwa sababu yeye (Kinana) ni mzigo.....huo ni utani tu jamani.
-Mwaka 2015 Ridhwani anagombea urais na anashinda.....oh, natania tu.
-@Quotes master anateuliwa mod wa jukwaa la utani .......natania wajemeni.
Mimi napenda utani sana wajameni....
1.mara ghafla chadema wanashinda kwa kishindo uchaguzi wa 2015...natania tu...
2.ghafla bin vuu dr. Salaha anakuwa rais wa JMT halafu mbowe anakuwa PM. Teh!teh!teh!...me natania tu!
3.kutahamaki Le mutuz anaacha utoto na kuwa mtu mzma kimawazo afu anagombea jimbo la babake anachaguliwa then anapewa uwaziri mkuu....hahahahahah hehehehehe...jamani mi natania tu..,
4.ghafla bunge maalum la katiba linapitisha serikali tatu halafu kila serikali inajitegemea jamani....
Hahahahahah!....me natania tu!....
5.mara shaaaaaa!! Zitto kabwe anagombea ubunge 2015 kupitia ccm na anashinda....
Hahahahahah...mbavu zangu jamani..ila mi natania..
6.mara edward lowasa anamshinda membe na kupeperusha bendera ya ccm 2015.....
Teh!teh!teh!...me natania tu!
Kwani wenzangu hampendi matani wakuu. Hebu tutaniane basi jamani.