Mimi nataka tu kufahamu nyie watu mnao date mnawezaje jamani

Ndo maana hata professional yangu sio ya kuongea
 
Ajira ngumu mimi nafanya kazi nje ya professional yangu na ofisini bila kuongea huwezi kumejaa matani so ji position labda uwe na uhakika wa maisha
Uzuri m najua kuishi na watu tofauti tofauti na jinsi ya kuzoea mazingara, hii sio ngumu kwangu kiongoz niko vzuri kwenye hilo
 
Mm katka maisha yangu huwa sipendi kufanya vtu vya uongo ili mradi tu nionekana, sipend fake life. Mi ni mtu ambaye mkweli na huwa sipend sana majivuno ambayo mm sina. Uongo mbaya
Mimi nakwambia nini hii jinsia ya wenzetu wanapenda kusikia, suala la kuamua kufanya au kutokuamua itabaki kuwa juu yako. Kuwa mkweli uendelee kuteseka au kuwa muongo pro ule mema. Hiyo ni eksipiriensi ya miaka mingi.

Mwanzo tia fiksi mpaka ajue anakabidhiwa dunia, baada ya hapo ndio utajaribu kumweka wazi halafu yeye atachagua anabaki au anasepa.

Kama hilo huwezi tafuta pesa, ukiwa na fedha automatiki unakuwa unawaka flani hivi, pesa huwa haijifichi mdogo wangu. Vaa smart, nukia vizuri, acha kukaa ndani, usitembee kinyonge, acha kutia tia huruma, jiamini. Itafika steji utaanza kuwakimbia.
Kazi kwako.
 
Brooo jichanganye na watu wa rika lako au njoo pm utanishukuru
 
Una umri gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…