Mimi naogopa mahusiano?

Sion faida ya kuwa kwenye mahusiano bora kuwa single tu.kwa kwel nmeumizwa sana enough is enough!.....
Kunywa maji, lala, ukiamka tongozwa kubali maisha yaendelee....haya mateso ya mapenzi ni yetu sote hadi tunakufa...unataka kutususia peke yetu? Hapana, haya maumivu ni yetu sote
 
Welcome to the pain zone is where we live, are you in pain?, good your in good path, through pain is the only way to change.

You have to love pain.
 
Sion faida ya kuwa kwenye mahusiano bora kuwa single tu.kwa kwel nmeumizwa sana enough is enough!.....
Likewise to me! Ila nadhani effect nimeipata nikiwa mdogo.
 
Ukitulia na nyege zikirudi utarudi tu kwenye hayo mahusiano,au labda uwe unagongwa na kusepa.
 
Ndugu mleta uzi. punguza expectations, expectations real kills
 
New member kwa Kile chama cha kujichukulia Sheria mkononi.
 
Sion faida ya kuwa kwenye mahusiano bora kuwa single tu.kwa kwel nmeumizwa sana enough is enough!.....
Una tatizo la Oneitis.

Mapenzi sio kwa ajili ya kila mtu, nenda kajaribu SHAMBA.

POLE SANA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…