Leo asubuhi nilikua nafikiria kitu nikajikuta naangalia mahusiano na ndoa kwa namna ambayo sikuwahi kabla. Mimi na wewe ni kama vipande vya puzzle ....you've got your share and I have got mine.Ukiviweka pamoja either unapata picha/umbo kamili ama hupati.
kila mmoja ana shape na size tofauti.Inapotokea wewe kama puzzle umemchagua mtu ambae yeye kama puzzle hana shape zinazoendana na vipande ulivyonavyo ndipo matatizo na migongano inapoanza.Utajitahidi kunoa na kuongeza zile sehemu zisizofit vizuri kwako au kwake ila mwishoni unashangaa pamoja na jitihada zako zile sehemu zinapwaya na ukiendelea kulazimisha zinavunjika na kuvunjika.
So jambo la muhimu hapa ni kutafuta vile vipande ambavyo vinaendana na vyak😵ne that is complementary to yours....one that accomodates your needs.
Linapokuja swala la ndoa ndo kabisa umakini wa hali ya juu unahitajika.Hapa kinachofanyika ni kuvishikanisha vipande vyako na vya mwenzako kwa glue.Hata kama haviendani at first havitakua na jeuri juu ya glue....ila baada ya muda utashangaa huku kunameguka...na vikianguka tu vinavunjika vunjika.Ila kama vitakua vinaendana ni rahisi kustahimili mitikisiko na mianguko.Hata sehemu ikimeguka ni rahisi kuirudishia.Kwahiyo kuweni waangalifu....usichukue tu vipande ni vipande...
....bali tafuta vile vinavyokufaa!!
Mchana mwema!!
Perhaps, muhimu jitahidi usitoe zaidi ya utakachopata.
Tat will contradict meaning of love,si ndiyo?i mean in love huwezi jizuia by giving equally kama unavyopewa wewe
Huwezi kujenga mahusiano na mtu asiyekupenda wewe kisa wewe unampenda. Ama mtu ambae ni kinyume na yale yote unayoamini/taka kisa tu unampenda. Mtu asiyekujali/kuheshimu/kuthamini kisa unampenda. Huo ndio mwanzo wa wewe kwenda kutafuta unayokosa nje.
Mapenzi full matatizo.@ times i just wish nisipende kabisa but ntachakachua mpaka lini?....aisee mbona upo macho this late?@ lizzy
lol.... this z sooo true .Huwezi kujenga mahusiano na mtu asiyekupenda wewe kisa wewe unampenda. Ama mtu ambae ni kinyume na yale yote unayoamini/taka kisa tu unampenda. Mtu asiyekujali/kuheshimu/kuthamini kisa unampenda. Huo ndio mwanzo wa wewe kwenda kutafuta unayokosa nje.
Kuendana muhimu aiseee. . .lol.... this z sooo true .
kbs yan choosing a life partner sio ki2 kirahisi kama kinavyochukuliwa na zaidi ya kumpenda tuu.
atleast muwe mnaenda pia.
thou sijui yan mwanzon mnaweza mkawa ok mmh mkioana mambo yanavyobadilika mmh. hata cjui kwann.
Nashukuru kwa kuvumilia ya kwangu...:yawn::yawn:Kuendana muhimu aiseee. . .
Unaweza ukampenda mtu na bado ukashindwa kuvumilia madudu yake.
:juggle::juggle: Nacheza puzzle ya kwako na Enjo to see if your compatibleKabisa Lizzy Luu..
kwa nini ujibebeshe mzigo wa kumpenda mtu aliyejaa madudu!!!!!!!!! the sooner you quit the longer u and happier u liveKuendana muhimu aiseee. . .
Unaweza ukampenda mtu na bado ukashindwa kuvumilia madudu yake.
yaan kama Lizzy atasema wewe unamadudu basi nimbadilishie wa kwangu (Rejao) kwa robo siku kama hata iona 2012 chunguNashukuru kwa kuvumilia ya kwangu...:yawn::yawn:
:juggle::juggle: Nacheza puzzle ya kwako na Enjo to see if your compatible
Kurwa we na yule naniii mnaendana?