mkuu nasikia una Dozi... yah yaaa naa.. naa naniliuu. Hatari.. Imeingia...Vitandani....... ndio maana DR ulimboka kakushauri uache kimea....
We Jiwe Linaloishi unatafuta ugomvi ambao hautauweza Arushaone alikuambia hiyo ni siri ya chama mbona unakuja kuianika huku wakati akina sweetlady, @cacioco, Blaki Womani, Preta , Amyner hawajui
hahahahha nampiga zongo.... atuachie na sisi yeye anajifanya Mswati
Asprin umeona eehhhSijui nini kimenileta kwenye hii sredi isiyona tija kwenye maendeleo ya taifa.
Nasepa zangu... Karibuni Torabora kwenye biashara ya vyuma chakavu
Sina urafiki na wakwepa kodi muhimu kwa maendeleo ya taifa.
Mkimwona huyu dogo mwambieni hanijui, simjui. Tuachane miaka mia.
mkuu Asprin jamaa kapate mwanamke wa kilokole na sharti moja wapo ni kuacha pombe
hajui anapunguza mapato ya kodi kwa taifa na kuna shule itakosa madawati kabisa]
Hommie hivi leo lini vileeWatu wengine wamelogwa vibaya asee.
Hivi unaweza acha biya kwa sababu ya mwanan'ke?
Mi nakasirikaga sana. Taifa linaangamia kwa watu kukosa uzalendo!
KUNYWA BIYA KWA MAENDELEO YA TAIFA!
Hommie hivi leo lini vilee
Watu wengine wamelogwa vibaya asee.
Hivi unaweza acha biya kwa sababu ya mwanan'ke?
Mi nakasirikaga sana. Taifa linaangamia kwa watu kukosa uzalendo!
KUNYWA BIYA KWA MAENDELEO YA TAIFA!
usipite hivi hivi acha round si unajua taratibu za vikao vya ndovu...
Bahati mbaya mkuu hata sijui hiyo ndovu imekaaje...mie nimezoea kuisikia kwenye bomba.
duh we wa hapahapa.. au?? kwahiyo haubip kabisa wewe na maji ya sukari tu
Dah!!! mie haa kucheki salo mtu wngu huwa sicheki...mie ni mtu wa maji ya sukari tu hizo ndyofu tunawaachia nyinyi
Watu wengine wamelogwa vibaya asee.
Hivi unaweza acha biya kwa sababu ya mwanan'ke?
Mi nakasirikaga sana. Taifa linaangamia kwa watu kukosa uzalendo!
KUNYWA BIYA KWA MAENDELEO YA TAIFA!
Khaa! ww unachelewesha maendeleo ya nchi Young Master. Kunywa ndyofu kwa afya na kuongeza kodi.
ha ha haaaa!!! Kuongeza kodi au kujijengea kaburi?
Kwani umeambiwa ndyofu ni sumu Young Master?