baba nuh mziwanda
New Member
- Jun 4, 2016
- 3
- 0
Ni shida tupu baada ya kujifahamu kuwa sitakiwi kupenda. Maana kama huduma najiahidi mpaka basi ' kama mapenzi napenda yeye aseme "kwa leo inatosha" ila bado sijui kama nitapata wa kuishi nae.
Kama huyu wa mwisho tumefanikiwa mpaka kupata mtoto kumbe mimi najinyima wao wapate kula yeye ana bwana mwingine he!Nilijuta hata kuyajua mapenzi. Ila kikubwa nataka ushauri nifanye nini ili nimpate wa kudumu nae mana mimi sasa ni kijana mwenye umri wa miaka 25 damu inanichemka.
Naombeni ushauri najua mtakuwa na maswali niulize ili nipate ushauri