Mimi na mama kijacho wangu

Mimi na mama kijacho wangu

Playboy

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2011
Posts
1,170
Reaction score
945
Asalaam Aleykum ndugu zanguni wana MMU, leo nimebidi nije hapa kupata ujuzi wenu na busara zenu.

Nimekuwa na mahusiano ya kila dizaini tangu nabalehe mpaka sasa wanawake wa kila aina vibonge wazito, vibonge wepesi, wenye sura nzuri umbo ziro, wenye maumbo mazuri sura ziro, wenye jinsia za kustaajabisha, shombeshombe, wana East Africa, hiyo yote ni kipindi chote cha ujana na balehe, nikawa na misimamo yangu kubwa zaidi huwa siuzi mechi, ikitokea labda nipo bwax yaani.

Ila yote kwa yote wadada slim au vipotable mie ndio ugonjwa wangu aseeeh asikwambie mtu, naweza fanya chochote ili mradi nikupate, pia nimeumiza wengi (sijisifii kwa hili) kuliko mimi kuumizwa wapo walio amini mimi ni wao wa maisha kumbe mie nilitamani tu kifua chache ama muonekano wa nj'e tu, nikaishia kulaumiwa na matusi ya kila dizaini.

Nisiwachoshe kwa historia isiyo na maana.

Kilicho nileta hapa leo wakuu nimenasa na nimenaswa haswa (shikamooni wanawake .

Ujanja wote mfukoni, binti ni model ivii ana kijungu matata sana, kile kiunooo uwiii ndicho kilinivuta first day tunameet, to make the long story short bi dada ni mama kijacho na mimi ni muhusika mkuu bila ubishi, na jana ametoka pima kitu kina wiki tatu, kwa heshima hii huyu mwanamke now nimeamua sasa misimamo yangu naitengua now kichwa chote namuwaza yeye tu mpaka nasema kaniendea Congo nini ila sasa binti anadeka jamani kaaaah au ndio mimba inaanza kujiendesha maana kitu kidogo tu atalalamika, anaweza nuna siku nzima, wakuu kama hali ni hii kweli miezi tisa itakuwaje.

Naombeni uzoefu kwa waliotangulia kuwa na watoto, vipi mnawahandle hawa mama vijacho maana akili zangu nazijua mwenyewe, nataka niwe na busara kwa kila hatua na sababu nimeamua kuishi naye sasa japo ndoa mh sijui.

Ushauri wakuu wa busara nahitaji toka kwenu.



*UKIMWI UPO NA UNAUA , TUJILINDE*
 
Wanaume wa dar lini mmeanza kugawa mimba na yale machips yenu
 
Back
Top Bottom