Kwakweli katika maisha yangu, kwenye safari zangu, lazima nihakikishe nina kondom japokua sina appointment na demu yeyote yule,.. Lakini huwa najisikia amani ninapotambua kwenye begi yangu zipo bakiti 2 au 3 za kondom.
Najiona nimekamilika ktk safari yangu kama vile Mmasai na sime yake..... Hahahaaah, mazoea bhana!