Mhere Mwita
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 235
- 1,275
Mimi mhere Mwita Leo bila kushawishiwa na mtu kwa utashi wangu Binafisi nimeamua kuachana na siasa ambazo hazina tija kwangu na Maisha yangu.
Kwa hiyo Leo ninatangaza rasimi kuachana na siasa za maneno Mengi bila vitendo, siasa za mitandaoni bila kwenda field siasa za kuwa jasiri Facebook kumbe muoga kabisa tukiamua kwenda front unatoa Uzuru Mara mtoto wangu Mgonjwa nazichukia siasa hizi.
Siasa za kumalizia machungu Facebook na WhatsApp na sio Field ni siasa ambazo sitaki kuzisikia mwaka 2017.
Ninahitaji kufanya Siasa ya kukipigania chama changu ili kishinde kwa kishindo mwaka 2020 kukilinda dhidi ya maadui wake wote.
Sitakuwa neutral nitakuwa upande wa chadema wakati na mda wowote kila kujali mazuri yaliyofanya na ccm na mabaya yanayofanywa na chadema.
Ninajua dhamira ya watu waliouwawa kwanye hichi chama ilikuwa ni ukombozi. Mimi Leo nikifa huku nilikuwa kikwazo kwa huo ukombozi Rafiki yangu Alphonce Mawazo hataenda kunielewa kabisa.
Mimi ninahitaji chadema kuliko yenyewe inavyoniitaji mimi mwaka mpya tunatakiwa tubadilike tufanye siasa mpya siasa ya kuiondoa CCM bila kujali moyoni tunamajeraha kiasi gani nitapambana tu.
Kuwa na chuki na mkuu wa majeshi haiwezi kukufanya uche kwenda vitani kuikomboa nchi yako twendeni tumtoe CCM kwanza haya mengine tutayamaliza tu ndugu zangu tuamueni sasa CCM ni wepesi sana.
Ambao huwa hawasomi mpaka mwisho utawaona kichwa cha habari na kukocomment bila kujua ndio waafrika walivyo wavivu sana kujisomea kila kitu wanataka summary.
Ni Mimi Mwana wa Geita