ila sababu ni mgeni sio vibaya nikufahamishe kwamba kuna majukwaa tofauti na hili ni la siasa, hodi zina jukwaa lake ungepita kule ungekaribishwa vizuri zaidi hapa usishangae ukijibiwa kisiasa (as hili ni jukwaa la siasa) waombe mods waamishe kwenye jukwaa la utambulisho