mimi mgeni kwenye haya mambo naomba msaada

mimi mgeni kwenye haya mambo naomba msaada

kangalo

Member
Joined
Nov 27, 2012
Posts
18
Reaction score
1
kati ya hizi nokia lumia na samsung galaxy ipi inafaa kwa matumizi.
 
Zote nzuri sana.

Mimi natumia galaxy nadhani kama
ukinunua itakupa thamani ya pesa yako.
 
Back
Top Bottom