Mimi mgeni humu

Samiah karibu sana......

mkuu Rutta kazi nzuri.. nione kabla ya patty kuanza
 
Jamani naitwa Samiah nimejisajili cku si nyingi huku ila hata sielewi naona watu mnajuana ila cjui mnajuana vipi je kuna ku follow na kufollow back or?😕

me nataka uvimbe wako kwanza mengine ya humu ntakusimulia ila jiadhari na watu wa humu wengi vibabu na vibibi :ban: me
 
Slave na Baba V nitumieni cv nichague mkaguzi.
 
Jamani naitwa Samiah nimejisajili cku si nyingi huku ila hata sielewi naona watu mnajuana ila cjui mnajuana vipi je kuna ku follow na kufollow back or?😕

Mambo samiah
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…