Mimi mgeni humu

samiah

Member
Joined
Jan 13, 2013
Posts
5
Reaction score
1
Jamani naitwa Samiah nimejisajili cku si nyingi huku ila hata sielewi naona watu mnajuana ila cjui mnajuana vipi je kuna ku follow na kufollow back or?šŸ˜•
 
PM mimi kwa ile ID nikupe pesa ukalipe kwa Mtambuzi , ili twende White Party sawa samiah
Jamani naitwa Samiah nimejisajili cku si nyingi huku ila hata sielewi naona watu mnajuana ila cjui mnajuana vipi je kuna ku follow na kufollow back or?šŸ˜•
 
Last edited by a moderator:
samiah karibu sana huku unayo yaona ni upendo wa dhati ndio maana unaona wote tunafahamiana japo wengine tunafahamiana! Lakini tumezoea kuishi kwa upendo sana hata kama hatufahamiani kwa sura!

Unayo nafasi ya kufahamiana na wana jukwaa zaidi!

Karibu kwenye white party samiah

Jamani naitwa Samiah nimejisajili cku si nyingi huku ila hata sielewi naona watu mnajuana ila cjui mnajuana vipi je kuna ku follow na kufollow back or?šŸ˜•
 
Last edited by a moderator:
Karibu sana Chitchat...kama una matatizo yoyote ya kiuchumi usisite kuniandikia barua.
 
Kwa niaba ya wana chitchat, mimi Skype nakukaribisha sana japo nami niliadimika sana kwenye familia hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…