Mimi Leo nawasalim tu woote,

lup

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2015
Posts
2,514
Reaction score
2,744
Leo jioni hii napenda kuwasalimia wote kwa pamoja,kwani naamini wengi wamerudi kazini Kama kawaida,ila wengine ndio hivyo hadi tarehe tatu mwaka mpya....
SALAAMU KWENU NA MSALIMIKE
kama unaweza, Nisalimia PM,sio mbaya nitafurahi pia. Huenda ukawa wewe ndio muujiza wangu nani ajuaye!![emoji122] [emoji122] [emoji191] [emoji191] [emoji23] [emoji23] [emoji28] [emoji122]
 
Haya nisalimie hivi " shikamoo Dada luckyline"
 
Reactions: lup
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…