Narudia tena Mimi Kanyela Mumo ( Nimenyea umo umo ) nasema hivi...
Ukiweza kuingia Jamii forum tambua wewe ni Daraja kwa vizazi vijavyo hivyo maendeleo hayana Chama fanya kazi kwa bidii.
Ukijua Utamu wa Bange wewe ni Nguzo kwa familia na Taifa lako chunguza fikra zako kuwa POSITIVE.
Ukiweza kupiga Punyento fahamu unatakiwa kulinda Amani na kudumisha Upendo kwa Taifa lako.
Ukianza kutolea Macho MIZIGO tambua unatakiwa ulinde unachopata usije kununua Maradhi.
Nasema hivi.... Narudia tena nasema hivi... Ukiona jamaa anasimama hovyo kaa jirani na kipande cha sabuni miaka 30 sio midogo.
Matumizi yakiwa makubwa kuliko kipato nasema hivi jiongeze kivyovyote ila usivunje SHERIA na Taratibu.
Nasema hivi... Nina kiu ya BANGE ila nimeacha lakini nime mkumbumbuka Pusha wangu sana, Mungu amjalie Usiku mwema.
Nasema hivi NATGEO wamesifia ukuwaji na maendeleo yanao fanywa na Mh Rais Dr na Baba John Joseph Maghufuli kupitia @nicholesobecki Istragram.. Sitafanya makosa 2020 kama nilio fanya 2015...
Be Positive things can come easy... One love for all.
Sent using
Jamii Forums mobile app