Kwamba jamaa hana akili?Hilo unatakiwa umweleze mtu mwenye akili.
Ndio maana sinywagi pombe. Kabla ya leo sikuwahi kuona min -me akiwa anatoa majibu harsh ndo naona sahiz hapa π π
Wewe ni kapuku tu usiye na maisha ndo maana jf umeifanya ya bibi yakoYa 30 na nguruwe nikienda pwani nikila nguruwe wanakasirika kisa mwonekano
Kwahiyo mkuu,wewe unasoma uzi wa mtu asie na akili na unachangia kabisa sio?Hilo unatakiwa umweleze mtu mwenye akili.
sjakataa mkuu,Bwashee ni Mpalestina wa West Bank Bathlehem alipozaliwa Yesu.
Kama umerehu maswali ngoja nianze .
Sasa hivi umeelewa (upo tungi ) au ..?
Umeanza ballistic missile πWewe ni kapuku tu usiye na maisha ndo maana jf umeifanya ya bibi yako
Ndio maana sinywagi pombe. Kabla ya leo sikuwahi kuona min -me akiwa anatoa majibu harsh ndo naona sahiz hapa π π
Hilo la kusema wana roho katili kinoma ni kwavile tu mmepandikizwa chuki dhidi yao,sjakataa mkuu,
kuna kipindi niliendaga machame gate la kupandia mt.kilimanjaro aise mademu wa kipalestina ni wazuri kinoma ila wanaroho katili kinoma
Nguruwe pitaaaa..........Kwahiyo mkuu,wewe unasoma uzi wa mtu asie na akili na unachangia kabisa sio?
sio chuki ni realityHilo la kusema wana roho katili kinoma ni kwavile tu mmepandikizwa chuki dhidi yao,
Nchi nyingi zilizotawaliwa kimabavu kwa muda mrefu,raia wake hua strong na kua na roho ngumu kwa ukatili wanao fanyiwa,angalia nchi kama South Africa,
Wewe walikufanya nini mpaka useme kua wana roho katili?
Unaona sasa,sio chuki ni reality
Kuna jamaa alioa mpalestina wakazaa 2 kids after 10yrs yule maze akamkili jamaa ili arithi mali
Guess what
wapalestina wanaogopeka
NomaUnaona sasa,
Ndio maana nakwambia kua mmekaririshwa vibaya tu dhidi yao,
Wanawake wa kimatumbi wao hawajawahi kuua waume zao? Hakuna kesi za kuua waume zao?
Kwahiyo huyo mwanamke mmoja ndio anatosha kuhukumu wapalestina wate?
Wanawake wa kimatumbi wengi tu huua waume zao,hata vijana wa kimatumbi zipo kesi wameua wazazi wao ili warithi mali,
Kila jamii hua ina watu wazuri na watu wabaya.