Mipango yote imepita kwenye baraza la mawaziri hivyo acha kuleta uchochezi tuBunge sasa linapanga bajeti,Mkuu alishasema hapendi kupangiwa,na ukimpangia ndio hafanyi kabisa!
Je bunge lina ubavu kubadirisha hata sentensi kwenye bajeti?
Lina ubavu kuhoji matumizi yaliyofanywa nje ya bajeti?
Well said!!!Bunge sasa linapanga bajeti,Mkuu alishasema hapendi kupangiwa,na ukimpangia ndio hafanyi kabisa!
Je bunge lina ubavu kubadirisha hata sentensi kwenye bajeti?
Lina ubavu kuhoji matumizi yaliyofanywa nje ya bajeti?
Kwani ulishaona anafuata bajeti ya Bunge. Wapi bunge lilipitisha bajeti ya bombadia na chato intl airport!!? Sioni umuhimu wa kuwa na bunge heri lifutwe tu maana jamaa halitaki
Mi naona wewe ndio umejibu kijinga
NYUMBU on fleekMi naona wewe ndio umejibu kijinga
amekwambia hafanyi kazi?Baba mvua hizi kwa kilimo ndo zenyewe,acha kusogoa baadae uje kulalama kuna njaa,FANYA KAZI.....Serikali haina chakula cha bure..!!