Mimi huwa najiuliza sana!

MAHANJU

JF-Expert Member
Aug 26, 2014
5,244
7,970
Hivi CUF wangelalamikia rafu ambazo wanachezewa na CCM kama CCM wanacholalamikia CUF kwa sasa na wakati huo Dkt Shein ameonekana kuongoza, Je, Jecha angetangaza kuufuta uchaguzi Zanzibar?
 
Hii ngozi nyeusi imelaaniwa ndo maana hâta jk alitaka tanzania ijitoe mkataba wa Roma ndo maana wanasema icc ipo kwa mijiti meusi yaani huwa nikimuona shein natamani kuvunja TV mtu anajiona kama yy tu ndo kaumbwa kuwa rais .nakumbuka Santa yaliyomkuta rais wa ivory coast na mke wake na hapa ije hiyo tuu kwa maana hakuna namna
 
Back
Top Bottom