Wanaboresha uwanja wa ndege Mwanza kuwa wa kimataifa, serengere kunaitajika airtrip za kupokea ndege ndogo ndogo.Eti mbuga mashuhuri duniani. yenye wanyama wengi kuliko zote ambayo pia ni urithi wa dunia.
Haina uwanja wa kimataifa wa ndege jilani yake pale MUGUMU!
Hivu hii ni aibu ua ni uchuro?
Eti mbuga mashuhuri duniani. yenye wanyama wengi kuliko zote ambayo pia ni urithi wa dunia.
Haina uwanja wa kimataifa wa ndege jilani yake pale MUGUMU!
Hivu hii ni aibu ua ni uchuro?
Yaap utakimbiza wanyama ,mfano mzuri Tu pita na basi from Mugumu to Arusha via Serengeti uone jinsi nyumbu,zebra na wanyama wengine wanavyokula mita kukimbia mlio wa gari sasa wakikutana na mlio wa Airbus au Boeing wote lazima wasepe Masai maraEti watu wa wildlife conservation wanadai uwanja mkubwa wa ndege utakimbiza wanyama.... kweli jamani
uzushi!! nilishawahi lala hapo haipo hivyo unavyosema kubonyeza kitanda kije ndio ulale, sema tu ile lodge haikustahili kuwepo kule, imejengwa kimandhari ya beach hotels sio kimbuga mbuga kama serengeti serena na nyinginezoMbona bilila lodge ya kikwete aliyojengewa na barrick gold huitaji. Ukiingia ndani unabonyeza button tu kitanda kinakuja!,