Mimi + Ange Kagame = Next Michael Jordan

Wewe mwenyewe mrefu kidogo ndugu yangu? Manake usijetupa sababu ya kutabasamu barabarani ili hali hatutakiwi...

Eeh!!! Kwa huyo binti mie pia ni andunje maana ka urefu kangu ni 5.11 na binti anaweza kuwa kama 6.5 kama sikosei
 

mzalendo91 bdio ww umebana hapo kulia?
kushoto kwa Bibie kwenye Mahips yake? gangamala kwa sana utafanikiwa tu
lakini ujue urefu una Matter hasa kwa kabila hillo
 
Orijino wanaanzia kwenye mashamba ya mihogo kwenye mipaka yetu. Sampuli uttpata. Lakin , masharti ya tamaduni zao utaweza? Kaka zake na marafiki wa aina zote wanapumzika pamoja. Sijui kama utakuwa na roho kubwa ya kutotaka kudadisi ni ninin hasa kinatokea wakiwa wamepumzika. Hilo ni moja.

Hivi hao wahima wanapatikana hapo hapo kwa PK au!!? Embu fanya kunitumia sample yao aiseeh
 

Kwa hiyo wataka kuniambia wana genes za kunguru so hawafugiki!!?

Ila nasikia hata wanyarwanda nao wanakatabia kama hako pia.
 
Wewe ni mtanzania wa wapi unayethubutu kuzungumza na babamkwe mtarajiwe direct namna hiyo na kumwambia in a side note eti mtoto wako mashallah! Huna adabu za kitanzania hata kidogo.
Ulitakiwa ufanye hivi: Ungetafuta (au kutaja) jina mtu mzima anayeheshimika na kumweleza hisia zako zote kumhusu huyo binti, kisha umwombe huyo mtu aende ikulu ya Kagame aonane na Kagame kumwelezea hisia zako!
Ndivyo tunavyofanya mshikaji wangu!

Kama nia yako ni mzaha na utani tu, basi ungeenda jukwaa la jokes!
 

Swali hilo hilo ndiyo ninaweza pia hata kukuuliza wewe ni mtanzania wa wapi!!!?

Maana sidhan kama kusema mtoto wake ni mashallah ni kosa kiafrica. Kwa sababu hapo ni kuwa nimempa sifa kuwa ana binti mzuri tena sana..

Kuhusu kutafuta mtu wa kunipa connection nshalifikiria hilo na hivi sasa kuna mtu yupo kwenye hiyo michakato ya kunisaidia ombi langu
 
Hapo kwa Kevin Hart, nasema picha duka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…