mzalendo91
JF-Expert Member
- Sep 10, 2010
- 430
- 138
Myahudi mweusi aunganishwe na kyasaka? Thubutu!!!
View attachment 175759View attachment 175760View attachment 175761
Mh. Paul Kagame mie ni kijana wa kitanzania ambaye ghafla bin vuu baada ya kuona picz za mtoto wako huyo jana kwenye social media mapigo yangu ya moyo yalianza kwenda speed kama vile yamewekewa engine ya Bugatti...
Ombi la waraka huu ni kuwa kama kijana wa kizalendo wa tanzania sipendi kuona nchi hizi zetu 2 zikiendelea kuwa na malumbano yasiyo na tija.
Hivyo ilikumaliza mgogoro baina ya nchi hizi mbili nilikuwa nnaomba unipe walau nafasi ya kama siku 2.
Ili niweze kukaa na bintio na kujadiliana ni jinsi gani tunaweza kumaliza huu mtafaruku baina ya nchi zetu hizi.
NB: Ila mh. PK bintio mashallah
Hahahaaa nimecheka kweli pk jamiiforums anaijua kweli umenikumbusha yule jamaa wa kenya alietaka auze ngombe wote ili amuowe mtoto wa bil clinton hapo ni kama mbingu na ardhri utachoma sana mahindi na kulia na ukuta lol.
Hii mbegu kweli inavirutubisho
naunga mkono hoja
View attachment 175759View attachment 175760View attachment 175761
Mh. Paul Kagame mie ni kijana wa kitanzania ambaye ghafla bin vuu baada ya kuona picz za mtoto wako huyo jana kwenye social media mapigo yangu ya moyo yalianza kwenda speed kama vile yamewekewa engine ya Bugatti...
Ombi la waraka huu ni kuwa kama kijana wa kizalendo wa tanzania sipendi kuona nchi hizi zetu 2 zikiendelea kuwa na malumbano yasiyo na tija.
Hivyo ilikumaliza mgogoro baina ya nchi hizi mbili nilikuwa nnaomba unipe walau nafasi ya kama siku 2.
Ili niweze kukaa na bintio na kujadiliana ni jinsi gani tunaweza kumaliza huu mtafaruku baina ya nchi zetu hizi.
NB: Ila mh. PK bintio mashallah
Kwa Wahima, huyu binti ni wa kawaida sana!. Anaonekana kung'ara kwa sababu anatoka ikulu na ana access na media. Lakini ukiwaona Wahima hata vijijini ndani, utashangaa. Unaweza kudhani walishushwa kama quruani ilivyoshushwa katika mapango!.
unamchokonoaaa p.k kwikwimwi.....usijetumiwa assasins heheheh
Nafikiri zile nyimbo za akina 'Marijani' za shingo ya upanga zinamhusu huyu binti mfalme....Ila huo urefu, mpaka babake mzazi andunje pamoja na urefu wake!
jaribu zali la mentali mkuu