Mmenifurahisha kweli yaani watoa majibu.
Huyu mtoa mada ni mjinga so mngemtoa ujinga jamani.
Ndugu mtoa mada, mimba haipo kwenye bao aisee, mimba hutengenezwa endapo mbegu ya kike na yakiume zikikutana.
Katika mwili wa binadamu mimba hutungwa kwenye via vya uzazi vya mwanamke, kwenye mirija ya falopiani na baadae hujishikisha kwenye uterasi.
Kutengenezwa kwa mimba haijalishi umetoa shahawa mara ngapi, kitu cha muhimu ni kukutana kwa megu ya kiume na ya kike.