Makindi N
JF-Expert Member
- Mar 14, 2008
- 1,066
- 173
Jumapili, katika pitia magazeti... kuna mtu aliandika habari hii ya kufikirika kidogo kuhusiana na mimba za hawa akina dada/wanawake/wasichana hususani walio wengi...
Kiufupi ni kwamba, zamani mwanamke akiwa mjamzito utasikia kila mara au katika siku lazima utasikia "nataka ndimu, udongo etc".... lakini siku hizi utasikia "Honie nahamu na burger, milk shake, upepo beach, etc".
Hivi ni maendeleo ktk swala zima la mimba au? Teknolojia, maisha yanapoboreka etc yanabadilisha na hata hali za wajawazito au?