salito JF-Expert Member Joined Dec 29, 2011 Posts 1,406 Reaction score 735 Jan 13, 2012 #1 Wadau habarini,hivi hizi mimba za kupandikizwa zinaweza kupandikizwa kwa kila mwanamke au kuna mazingira yanayoweza kusababisha ishindikane kwa wengine?na kwa mfano wale wanaopandikizwa huwa wananyonyesha wakishazaa au inakuwaje??
Wadau habarini,hivi hizi mimba za kupandikizwa zinaweza kupandikizwa kwa kila mwanamke au kuna mazingira yanayoweza kusababisha ishindikane kwa wengine?na kwa mfano wale wanaopandikizwa huwa wananyonyesha wakishazaa au inakuwaje??