Mimba yenye utata

Mkuu kama ulitoa boko kubali yaishe..Lea hiyo mimba...usije ukajaribu kumwambia aitoe...ni laana
 
Yeah baada ya hedh y mwez wa 1 alikutana na mtu ndomana n inategemea ana mzunguk wa siku ngapi normal ni 21-35 days na ujue kuwa hedhi inawez ikawa kuanzia siku 3 mpk saba ila ujue kuwa siku za hedhi zinapokuwa ndogo ndo siku zisizozahatar zinaongezek ila siku z hedhi zikiwa nyingi bas siku z hatr zinaongezeka,mdada hapo alipata mimba alipofanya mapenz mkawaida yai linatoka kila mwez so jiandaen kulea mtoto

......
 
Hakuna cha ajabu hapo! Labda hamkufanya kabisaa alafu akakwambia ana mimba ndio ingekua ya ajabu,jiandae kulea mwana maana kulea mimba si kazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…