Pumzi JF-Expert Member Joined Dec 5, 2013 Posts 321 Reaction score 55 Mar 13, 2015 #1 oya waungwana ile mimba ya mwana bongo fleva platinum kwa mke wake zari imefikia wapi? Nauliza hvyo kwakua siku zinavyo zidi kwenda mzigo hauonekani au ni macho yangu mimi Samahanini kwa usumbufu
oya waungwana ile mimba ya mwana bongo fleva platinum kwa mke wake zari imefikia wapi? Nauliza hvyo kwakua siku zinavyo zidi kwenda mzigo hauonekani au ni macho yangu mimi Samahanini kwa usumbufu
chilonge JF-Expert Member Joined Dec 23, 2014 Posts 1,651 Reaction score 3,174 Mar 13, 2015 #2 Weka picha tuone tuthibitishe usemayo..
P. Majaribu JF-Expert Member Joined Jun 2, 2014 Posts 1,192 Reaction score 625 Mar 13, 2015 #3 Pumzi said: oya waungwana ile mimba ya mwana bongo fleva platinum kwa mke wake zari imefikia wapi? Nauliza hvyo kwakua siku zinavyo zidi kwenda mzigo hauonekani au ni macho yangu mimi Samahanini kwa usumbufu Click to expand... Alafu unaweza kukuta huyu mleta mada ni mwanaume.
Pumzi said: oya waungwana ile mimba ya mwana bongo fleva platinum kwa mke wake zari imefikia wapi? Nauliza hvyo kwakua siku zinavyo zidi kwenda mzigo hauonekani au ni macho yangu mimi Samahanini kwa usumbufu Click to expand... Alafu unaweza kukuta huyu mleta mada ni mwanaume.
excel JF-Expert Member Joined Jul 8, 2011 Posts 22,434 Reaction score 17,861 Mar 13, 2015 #4 Imefikia chalinze...... Kesho inaondoka kwenda England kuangalia mechi kati ya Arsenal na west ham united...
Imefikia chalinze...... Kesho inaondoka kwenda England kuangalia mechi kati ya Arsenal na west ham united...
appoh JF-Expert Member Joined Mar 14, 2013 Posts 5,825 Reaction score 3,090 Mar 13, 2015 #5 Pumzi said: oya waungwana ile mimba ya mwana bongo fleva platinum kwa mke wake zari imefikia wapi? Nauliza hvyo kwakua siku zinavyo zidi kwenda mzigo hauonekani au ni macho yangu mimi Samahanini kwa usumbufu Click to expand... si kashawajibu kua mimba wamebeba mama zenu sio yeye
Pumzi said: oya waungwana ile mimba ya mwana bongo fleva platinum kwa mke wake zari imefikia wapi? Nauliza hvyo kwakua siku zinavyo zidi kwenda mzigo hauonekani au ni macho yangu mimi Samahanini kwa usumbufu Click to expand... si kashawajibu kua mimba wamebeba mama zenu sio yeye
eselungwi Member Joined Mar 12, 2012 Posts 97 Reaction score 70 Mar 13, 2015 #6 P. Majaribu said: Alafu unaweza kukuta huyu mleta mada ni mwanaume. Click to expand... Hahaha hapo sasa inatia mashaka sna
P. Majaribu said: Alafu unaweza kukuta huyu mleta mada ni mwanaume. Click to expand... Hahaha hapo sasa inatia mashaka sna
M Mfd JF-Expert Member Joined Sep 19, 2014 Posts 307 Reaction score 67 Mar 13, 2015 #7 P. Majaribu said: Alafu unaweza kukuta huyu mleta mada ni mwanaume. Click to expand... Haaaaaaaaaaaaaaaaah
P. Majaribu said: Alafu unaweza kukuta huyu mleta mada ni mwanaume. Click to expand... Haaaaaaaaaaaaaaaaah
Mkweli77 JF-Expert Member Joined Jul 26, 2013 Posts 1,459 Reaction score 1,142 Mar 13, 2015 #8 afu zari mbona ana block watu saana mimi mmoja wapo kani block
P payton JF-Expert Member Joined May 1, 2014 Posts 438 Reaction score 283 Mar 13, 2015 #9 Kwann kuulizia mimba ya mtu?
chilonge JF-Expert Member Joined Dec 23, 2014 Posts 1,651 Reaction score 3,174 Mar 13, 2015 #10 P. Majaribu said: Alafu unaweza kukuta huyu mleta mada ni mwanaume. Click to expand... Hahaaa...hapo ndo kwenye mashaka
P. Majaribu said: Alafu unaweza kukuta huyu mleta mada ni mwanaume. Click to expand... Hahaaa...hapo ndo kwenye mashaka
Nilufer JF-Expert Member Joined May 10, 2012 Posts 9,760 Reaction score 14,005 Mar 13, 2015 #11 mh mawifi na mashemeji wa Tanzania mna gubu sana....
Raynavero JF-Expert Member Joined Apr 29, 2014 Posts 38,380 Reaction score 56,078 Mar 13, 2015 #12 payton said: Kwann kuulizia mimba ya mtu? Click to expand... nashaanga....!!!!
data JF-Expert Member Joined Apr 9, 2011 Posts 26,943 Reaction score 23,883 Mar 13, 2015 #14 Si vibaya kutaka kujua, ukishakua celeb. ni kawaida raia kufuatilia each of ur biz., hata unavyotiana. Tupe tu msaada wa picha., tujiridhishe.
Si vibaya kutaka kujua, ukishakua celeb. ni kawaida raia kufuatilia each of ur biz., hata unavyotiana. Tupe tu msaada wa picha., tujiridhishe.
idawa JF-Expert Member Joined Jan 20, 2012 Posts 25,298 Reaction score 38,438 Mar 13, 2015 #15 Mkweli77 said: afu zari mbona ana block watu saana mimi mmoja wapo kani block Click to expand... Wengi wenu ni timu mama Ubaya.!
Mkweli77 said: afu zari mbona ana block watu saana mimi mmoja wapo kani block Click to expand... Wengi wenu ni timu mama Ubaya.!
Paula kilaki JF-Expert Member Joined Jun 26, 2014 Posts 1,909 Reaction score 1,290 Mar 13, 2015 #16 Excel said: Imefikia chalinze...... Kesho inaondoka kwenda England kuangalia mechi kati ya Arsenal na west ham united... Click to expand... hahahahahaaaaaa
Excel said: Imefikia chalinze...... Kesho inaondoka kwenda England kuangalia mechi kati ya Arsenal na west ham united... Click to expand... hahahahahaaaaaa
Paula kilaki JF-Expert Member Joined Jun 26, 2014 Posts 1,909 Reaction score 1,290 Mar 13, 2015 #17 Mkweli77 said: afu zari mbona ana block watu saana mimi mmoja wapo kani block Click to expand... hivi hivi tuuu???
Mkweli77 said: afu zari mbona ana block watu saana mimi mmoja wapo kani block Click to expand... hivi hivi tuuu???
Paula kilaki JF-Expert Member Joined Jun 26, 2014 Posts 1,909 Reaction score 1,290 Mar 13, 2015 #18 geniveros said: nashaanga....!!!! Click to expand... jana tuu katoka kuwaambia amebebewa na mama zao, sasa sijui hawakielewa??
geniveros said: nashaanga....!!!! Click to expand... jana tuu katoka kuwaambia amebebewa na mama zao, sasa sijui hawakielewa??
Mkweli77 JF-Expert Member Joined Jul 26, 2013 Posts 1,459 Reaction score 1,142 Mar 13, 2015 #19 Hahahahaha
Q quraysh8137 Member Joined Dec 9, 2014 Posts 54 Reaction score 13 Mar 13, 2015 #20 mtoa mada jaribu kufikiri hata kwa kutumia akili za kukopa,, mimba ya Zari ww inakuhusu nn??