Ni sahih mimba kutungwa kwa nusu saa kwa sabubu gamate huingia mara mja kwenye mji wa mimba lakin tendo hilo haliathri mfumo wa mwanamke kwa muda huo kwahyo hapo umeibiwa na kutapika juu kaja kukupa mzigo.....
Miss natafuta Uzi umeusoma vizuri lakni? Mi nilikua nataka maelezo ya kisayansi au kibiologia ya kukunusha au kukubali juu ya hilo Bandiko!!! Cc Mshana Jr, Kilanga, mzizi mkavu!!!!