Kayenga jr
JF-Expert Member
- Feb 16, 2016
- 443
- 349
- Thread starter
-
- #21
Asante sana kwa ushauri tatizo ni hizo gharama nachosubiria kwa sasa ni kufanya hicho kipimo cha HSG tena ili kuona je huo mrija bado umeziba? Na kitu ambacho sikielewi mwanamke mirija ikiziba mzunguko wake (kwa maana ya period) anapata kama kawaida?Tatizo lako limeshagundulika huna haja ya kuhangaika. Mini Mke Wangu anatatizo kama la Mke wako mrija mmoja umeziba. Alikuwa na tatizo la kuugua kwa masaa yasiyopungua kumi mfululizo anapokuwa mwezini Ila tatizo la maumivu liliisha baada ya kufanyiwa operation ya kuzibua mirija kwa kukata na kuunga tena Ingawa operation hiyo haikufanikiwa. Nyama kubwa ilitolewa wakati wa operation ndio iliyokuwa ikimuumiza. Suala la kushika mimba mwanamke akiwa na mrija mmoja inawezekana Ila ni mtihani sana. Suluhisho la tatizo lako ni kufanya invetro fertilization hii ni kutunga mimba nje na kupandikiza ndani ya mfuko wa uzazi. Mimi Nimepata mtoto baada ya miaka kumi na tano ya ndoa kwa njia nilivyokuambia. Njia hii ni Gharama na Mimi nilifanyia nje ya nchi. Ila kwa uwezo wa Mungu Mke Wangu Alipata ujauzito kwa njia ya kawaida na kupata mtoto baada ya miaka 18 ya ndoa. Kwahiyo usihangaike hiyo ndio hali halisi ni mtihani unaohitaji subira ya Mungu kama huna uwezo wa kufanya IVF kama nilivyofanya Mimi. Ila siku hizi unaweza jaribu hata hapo Kenya kwa Gharama nafuu kati ya Dola elfu sita hadi nane Ila hii nayo ni kujaribu tu unaweza pata au kukosa Mimi nilijaribu mara tano mfululuzo hadi kuja kufanikiwa. Mungu yupo na anatenda mtegemee Yeye.
hamna shidaPoa kumradhi jina hilo sijalielewa vizuri
Asante kaka kwa mawasiliano nitatawatafuta ila ngoja kwanza tufanye hiyo HSG tu majibu yanesemaje nitawatafutaPole sana kaka
Mungu akupe moyo wa uvumilivu na kuwezeshe kukuza imani yako
Amini Mungu anaweza kufanya na atafanya
Wasiliana na hawa washauri huwa wanashauri na kutoa dawa kwa ajili ya kuzibua mirija ya uzazi 0716768855
AmeenZingatia hii status na utaona muujiza wake.. Katika jina la Yesu christo aliye hai pokea hitaji la moyo wako sasa... Kama Ibrahim na Sarah mkewe walivyopokea muujiza ni Mungu yule yule hajabadirika atatenda kwako leo.. Amen
AsantePole sana
Nimeshapima vyote hivyo hakuna shidamkuu nenda kwa daktari mpime yawezekana mbegu zako ni sumu kwenye mwili wa mkeo.. na wakijua hilo kuna dawa utapewa mimba itatulia tu vizuri
duh sasa sijui itakuwa ni nini? au mkeo alichoropoa sana akiwa kijana uwiii mi sipoNimeshapima vyote hivyo hakuna shida
Mmmmmh hapo siwezi kumuwekea dhamana japo Nina imani hapana maana najua nilivyomkutaduh sasa sijui itakuwa ni nini? au mkeo alichoropoa sana akiwa kijana uwiii mi sipo
basi omba mungu tu wakati ukifika itashikaMmmmmh hapo siwezi kumuwekea dhamana japo Nina imani hapana maana najua nilivyomkuta
Poa ushauri wako umefika nitaufanyia kazi asantekuna kitu kinaitwaa rd factor negative na rd factor postive zikiwa tofauti huwa inatokeaga hivoo mimi nashauri kapimeni groups za damu na hizoo factors
Kati ya watu wote naona wewe ndo umetoa mchango negative. Mdau anahitaji encouragement, usiwe na roho ya Israel hivi.duh sasa sijui itakuwa ni nini? au mkeo alichoropoa sana akiwa kijana uwiii mi sipo
Duuh! Pole sana!Tatizo lako limeshagundulika huna haja ya kuhangaika. Mini Mke Wangu anatatizo kama la Mke wako mrija mmoja umeziba. Alikuwa na tatizo la kuugua kwa masaa yasiyopungua kumi mfululizo anapokuwa mwezini Ila tatizo la maumivu liliisha baada ya kufanyiwa operation ya kuzibua mirija kwa kukata na kuunga tena Ingawa operation hiyo haikufanikiwa. Nyama kubwa ilitolewa wakati wa operation ndio iliyokuwa ikimuumiza. Suala la kushika mimba mwanamke akiwa na mrija mmoja inawezekana Ila ni mtihani sana. Suluhisho la tatizo lako ni kufanya invetro fertilization hii ni kutunga mimba nje na kupandikiza ndani ya mfuko wa uzazi. Mimi Nimepata mtoto baada ya miaka kumi na tano ya ndoa kwa njia nilivyokuambia. Njia hii ni Gharama na Mimi nilifanyia nje ya nchi. Ila kwa uwezo wa Mungu Mke Wangu Alipata ujauzito kwa njia ya kawaida na kupata mtoto baada ya miaka 18 ya ndoa. Kwahiyo usihangaike hiyo ndio hali halisi ni mtihani unaohitaji subira ya Mungu kama huna uwezo wa kufanya IVF kama nilivyofanya Mimi. Ila siku hizi unaweza jaribu hata hapo Kenya kwa Gharama nafuu kati ya Dola elfu sita hadi nane Ila hii nayo ni kujaribu tu unaweza pata au kukosa Mimi nilijaribu mara tano mfululuzo hadi kuja kufanikiwa. Mungu yupo na anatenda mtegemee Yeye.
Kama anataka ushauri kweli inabidi tuweke mezani visababishi vyote halafu adadavue tu mwenyewe .. Anisamehe tu kwa kweliKati ya watu wote naona wewe ndo umetoa mchango negative. Mdau anahitaji encouragement, usiwe na roho ya Israel hivi.