Hanitoni
JF-Expert Member
- Nov 9, 2015
- 1,146
- 989
wataalam wa mambo ya afya naomba ufafanuzi juu ya ya tatizo ya mimba kutunga nje ya kizazi
kuna wanawake wawili kwa wakati tofauti wanapata ujauzito alafu unatungia nje ya kizazi tatizo ni nini??je ni mm namatatizo au wao??
juzi huyu mwanamke wa pili katoka kufanyiwa upasuaji na imebidi mshipa mmoja ukatwe maana ulipasuka kwa hyo umebaki mmoja(falopian)sasa msaada wenu tatizo ni nini??
karibuni kwa michango yenu.