I isombwe Member Joined May 10, 2015 Posts 89 Reaction score 8 Sep 4, 2015 #1 Habari mdau, Samahani kuna uwezekano wa mimba kutokuonekana kwenye mkojo? Naomba kupata ufahamu juu ya hilo.
Habari mdau, Samahani kuna uwezekano wa mimba kutokuonekana kwenye mkojo? Naomba kupata ufahamu juu ya hilo.
Kiteitei JF-Expert Member Joined Jan 14, 2009 Posts 1,599 Reaction score 1,564 Sep 4, 2015 #2 Mkuu samahani...hivi ukikutana nayo kwenye mkojo bado itakuwa ni mimbaa??!!
D diclofenac Member Joined Aug 23, 2015 Posts 21 Reaction score 7 Sep 4, 2015 #3 n vigumu mkuu kinachopimwa ktk mkojo n hcg hormon ambayo hzalishwa wakat wa ujauzto,so kama n negative bas hakuna ujauzto
n vigumu mkuu kinachopimwa ktk mkojo n hcg hormon ambayo hzalishwa wakat wa ujauzto,so kama n negative bas hakuna ujauzto
Reina princess JF-Expert Member Joined Jul 1, 2015 Posts 1,322 Reaction score 1,503 Sep 4, 2015 #4 inawezekana hasa mimba kama bado ni changa sana. pima damu
K kidodii Member Joined Jan 21, 2011 Posts 28 Reaction score 3 Sep 7, 2015 #5 ina mda gan? kama homones zako kali ht in 1wk itaonekana. othrwise it takes 2wks had 1month ku detect kwenye mkojo
ina mda gan? kama homones zako kali ht in 1wk itaonekana. othrwise it takes 2wks had 1month ku detect kwenye mkojo