mhWw beba mimba kwanza halaf usiondoke kwenda sehem
Achana naye njoo kwangu ila ntakuombea mimba yako itamani kula ugali tembele kila sikuMpenzi wangu kaniambia nkishika mimba atanirudisha home mana ye hawezi ule usumbufu wa mama mjamzito. Nimeishiwa pozi hapa nataka nimuache kimya kimya,si kwa unyanyapaa huo.
NB: Hakuniambia direct ila katika kupiga story kuhusu mambo wanayofanya wajawazito ndo akasema hivyo "kwa kweli nawe ukileta hayo mambo ya ajabu nakurudisha tu kwenu ukijifungua ndo nakuchukua"
Kwahiyo raha tule wote shida ukawape wazazi wangu, heri niwe na mwanaume malaya lakini akifika home ananijali na anajua wajibu wake kama baba.
Sometimes the little things we do matter a lot, sio hela tu au kutiana tu.
Just saying!
Aisee [emoji4][emoji4]Huwa natamani sana siku nikipata mimba nguo za mume nizivae mpaka tani yangu ... Yaani ajiandae mapema maana nguo zangu ni ndogondogo haaaaah .. Aloo
duhWakati ww una mimba,sisi tunaendeleA na bata
roho mbaya tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Jitahidi upate mume bonge, ukipata slim kama sisi tatizo linakua pale pale.Huwa natamani sana siku nikipata mimba nguo za mume nizivae mpaka tani yangu ... Yaani ajiandae mapema maana nguo zangu ni ndogondogo haaaaah .. Aloo
apana bana. nitaendelea kukutia ila ikufika miez saba natafuta kitoto kibiichiii