Mimba isiyotarajiwa

Hongera mkuu kwa kuepuka mtego wa LI SINGO MAZA.

Single Maza ni laana.
 
Hahahah watoto wetu wa kike wanatabu sana saivii
 

1. Wazazi wanawajibika kwa binti akiwa chini ya miaka 18.
Huyo binti wa mtoa mada ni mtu mzima, ni zaidi ya miaka 18. Hata kama asingekuwa amefundishwa na wazazi yeye mwenyewe kama anaakili angejiongeza.

2. Mabinti wengi hawatumii Akili.

3. Mtu alishamuambia hana mpango naye(future naye) iweje useme amemharibia future yake?
Anayeharibiwa future ni mtoto mdogo au mtu aliyedanganywa. Huyu hayupo kati ya hayo.

Unaumia kwa Upumbavu wa mtu mwingine. Hicho ni kifo cha kujitakia
 
Asante, ushauri namba tatu nimeufanyia kazi, nimemsapoti toka kipindi cha mimba had anajifungua, kazini nikamtafutia mdhamini ko anaendelea kazi ya kupata shilling kwa mwezi.
Ntajaribu kuzingatia ushauri namba 1 na 2. Ntaona pale ntafika.

Lakini natamani kuongezeke mabalozi wa kukemea hii kitu, elimu itolewe kwa vijana wote wa kike na kiume, especially wa kike manake wao ndo wako na maamuzi ya kupata au kutopata mimba.
Manake kuna some scenarios binti ndo anaingia kwenye maisha ya kijana na sio kijana anaingia kwenye maisha ya binti. Mwisho lawama anapewa kijana.

Though sijitetei, vile I had to play my part kuhakikisha I stay safe either.
 
Huyo binti aliekuzalia kwa namna yoyote Ile muoe ,
Huyo unaesema ndo upo nae serious Wala sio wakwako ,,,

Ukipuuzia utajutia siku sio nyingi

Kaza moyo dogo

Acha kumdanganya na kumtishia mwenzako.
Mtu anaoa anayempenda. Lakini kulala unaweza kulala na yoyote.
Kama hampendi asimuoe
 

Ukizaa mtoto akiwa mkaidi na ulimfundisha yampasayo hayo mengine ni juu yake.
 
Wazazi muongee na mabinti kuhusu njia za kuzuia mimba na madhara ya ngono
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…