Mimi sijapanic wala kumpanikisha binti, nimemsapoti toka mimba hadi kujifungua.Mimba isiyotarajiwa ni mimba ipi?
Maana Hadi mnavua nguo na kusex bila kinga hamkujua matokeo yake?
Mkuu, nakusihi uwe mpole Tu, usimpanikishe bint wa watu jitahidi kumpa ushirikiano.
Mnaweza kulea Tu mtoto pasipo mchumba wako kujua.
Mimi ni wewe Kabisa, Sema Mimi nategemea mapacha April na kizuri ni Me na Ke.
Mipango yangu na mchumba wangu iko pale pale, bint nampa ushirikiano vizuri Kabisa.
Unapokuwa mwanaume, Tatizo linapotokea hutakiwi kupanic just relax tuliza akili, Think Twice Hadi upate solution. Sasa Kama umechanganyikiwa hivi uyo bint wa watu atakuwaje?
Tafsiri utakavyotafsiri, kama unaona ni hasira or whatever, its OK. Ila umeleta mada katika jukwaa huru na hayo ni maoni yangu. Na hata ungekuwa mwanangu msimamo wangu ungebaki hivyo.Sasa mama hizo hasira nyingi za nini? Binti alkua anajua kua mi nko na mahusiano yangu.
Siku hizi kila kitu ni ajira, uyu mwamba sijui ka fail wapiHao ndio wale wa kulengesha. Ushalengeshwa mdau imekula kwako.
Hapo nimekuelewa sasa sio ile kauli "baada ya mwezi then last week akajifungua"😅😅 karoti haikutoshi, ongeza na bamia hapo. Iko hivi... nilikutana nae mwanzoni mwa mwaka jana ( mwez wa 3) kajifungua last week ( wiki la mwisho la disemba) au ushajisahau leo ni 2024 bro.
🙆🙆🙆Nilisetiwa na demu niende kumla kumbe alikua na Mimba, Baada ya week ananiambia ana mimba, Nikatunza Banaa..
Kuja kushtuka kajifungua na miezi saba, sikufamoyo nikasema atakua njiti, na yeye mwenyewe akaniambia, uzuri njiti wanajulikana, siku ya pili naenda kumuona mtoto njemba imeshiba balaa, kucheki kadi ana kilo 5 kasoro...khaaa
Sikukaa hata chini, Nikamkataa pale palee....
Kuanzia pale Niliapa kutoendekeza nyege, kuna ulazima wa kula mzigo, Basi lazima nikupime..
Baada ya kama mwaka hivi ndio linanitumia msg ya kuomba msamaha.
Nimeamini wanaume wengi sana wanalea watoto sio wao,
Na imagine kama tungepishana week au siku si ningelizwaa??
Ila we nae unamatatizo kwa hiyo huyo mwenye uko nae serious ndio unamuona wa maana sana.Wanajamvi habarini na kheri ya mwaka mpya.
Bila kupoteza mda, mwanzoni mwa mwaka jana nilikutana na binti mmoja age ya 21 had 23 hivi. Katika harakati za kazi yule binti akaonesha kunielewa sana, kama tunavojijua baadhi ya wanaume na udhaifu mwingi, kondoo ikijileta tu hua hatujiulizi mara mbili basi nikapita nae.
Kama baada ya mwez akanambia ana ujauzito wangu. Kumwambia atoe nikaogopa basi nikamuacha hadi last week (december) akajifungua.
Binti anataka nimuoe kiukweli mimi sikua na mpango nae hata kidogo. Na toka kipindi najuana nae nilimwambia kwel kua mi sina future nae coz nko na mahusiano mengine, but nilikua namsapoti kwa kila stage hadi anajifungua.
Changamoto ni kwamba mi naishi Dodoma kikazi na mchumba wangu Ambae niko serious nae yuko Dar.
Naombeni experience kwenye hii issue
Nilimaanisha leave it, keyboard inavurugaTake it o live it
Mama bhana, sasa nimfurahishe mtu hanijui na simjui? Ndio maana hili ni jukwaa huru napost kwa watu tofaut ambao hawanijui wala siwajui, niwadanganye ili iweje sasa? Nahitaji solid ideas kwa watu wasonijua ili wawe very free kufunguka. There was no point ya mi kudanganya kwa watu siwajui ili kupata ushauri,,, it make no sense to me.Tafsiri utakavyotafsiri, kama unaona ni hasira or whatever, its OK. Ila umeleta mada katika jukwaa huru na hayo ni maoni yangu. Na hata ungekuwa mwanangu msimamo wangu ungebaki hivyo.
Usiandike kwa kuwa unataka furahisha watu, ukweli unaujua wewe na Mungu wako kama huyo binti ulimwambiaje mnapoanza mahusiano. Kama nae alikubali kudate nawe akijua huna future nae wote mtakuwa na shida.
Kingine , kama umeweza msaliti huyo uliye na malengo nawe kabla hata hujamuoa, ukioa itakuwaje.
Sikuchukii kwa kuwa hata kukujua sikujui, ila nakupa ushauri, kaa chini tafakari na badili mwenendo. Wewe ni mzazi, na utaendelea kuzaa ukijaaliwa, wanao wakikua utaelewa maumivu na changamoto za malezi.
Msimamo wangu utabaki palepale kuwa umevuruga future ya huyo binti na mtoto aliyemzaa. Take it o live it
Kabisa, halafu wanatudanganya sana🚮Kila siku mnatukana single mama hapa ndani. Ukweli single mama hawaibuki tu from no where, ni zao la wanaume wabinafsi na makatili kama wewe.
Unakwenda kuharibu future ya binti wa watu. Kaa chini imagine huyo binti angekuwa mwanao au Dada yako, ni maumivu gani ungepitia kuona anatendewa haya.
Hakuna wa kukulazimisha kumuoa huyo binti, ila kaa ukijua, na lala ukitambua umeharibu future yake.
USHAURI
1. Wazazi, tutumie muda wetu kuongea na mabint zetu kuwaeleza ukweli juu ya madhara ya kubeba mimba kabla ya ndoa.
2. Mabinti, jitambueni. Vishawishi vipo, ila tumieni akili.
3. Wanaume, kama hauna future na mtoto wa mtu usimuharibie maisha yake. Karma ipo.
*nikiwa kama mama niliye na binti, nimeumia kama huyu binti ni wangu.
😅😅 msidanganyike sasaKabisa, halafu wanatudanganya sana🚮
Sawa🥴😅😅 msidanganyike sasa
Pole Sana, nazijua nyakati unazopitia.Wanajamvi habarini na kheri ya mwaka mpya.
Bila kupoteza mda, mwanzoni mwa mwaka jana nilikutana na binti mmoja age ya 21 had 23 hivi. Katika harakati za kazi yule binti akaonesha kunielewa sana, kama tunavojijua baadhi ya wanaume na udhaifu mwingi, kondoo ikijileta tu hua hatujiulizi mara mbili basi nikapita nae.
Kama baada ya mwez akanambia ana ujauzito wangu. Kumwambia atoe nikaogopa basi nikamuacha hadi last week (december) akajifungua.
Binti anataka nimuoe kiukweli mimi sikua na mpango nae hata kidogo. Na toka kipindi najuana nae nilimwambia kwel kua mi sina future nae coz nko na mahusiano mengine, but nilikua namsapoti kwa kila stage hadi anajifungua.
Changamoto ni kwamba mi naishi Dodoma kikazi na mchumba wangu Ambae niko serious nae yuko Dar.
Naombeni experience kwenye hii issue
Mpendwa, hakuna lililowai nikuta na siombei yanikute. Nimelelewa katika maadili, hata mtoto wangu wa kwanza nimezaa nikiwa katika ndoa halali nikiwa na miaka 28. Nina binti wà miaka 7, nitapambana na ninamuombea kwa Mungu yasimkute. Sikukuandikia kukukwaza ila nilikutaka ukae chini utafakari maana nakuona ili suala umechukulia kirahisi bila kuangalia madhara. Sikukushauri kwa kuwa unao msimamo kuwa una mchumba tayari, so nikatoa ushaur kwa wote ili tujifunze kupitia kesi yako.Anyway pole kwa yaliyokukuta kama mzazi. Binafsi najua nlipozingua that's why nkaomba ushauri ili nisiendelee kuharibu. Sasa we umekuja na hoja za kuvuruga future ya mama na mtoto.. sasa sijui huo ndo ushauri wako?
Sorry! Em naomba nieleweshe
Muoe huyo Binti, anza naye maisha na Mungu atawajalieni familia yenye furaha na upendo. Kinyume chake karma is reallyWanajamvi habarini na kheri ya mwaka mpya.