choupa moting
JF-Expert Member
- Dec 27, 2016
- 1,508
- 2,577
aaah, joseverest mkuu! mbona nlianza kutuma mimi, na nikajiona wa kwanza, sasa nashangaa reply yako ndio ya kwanza yangu ya pili, huwa unafanyaje mkuu!!!!Asikuendeshe aisee...achana nae mkuu
Acha ngono zembe
Hata mimi mkuu nimetuma kawaida tu..sijajua imekuwajeaaah, joseverest mkuu! mbona nlianza kutuma mimi, na nikajiona wa kwanza, sasa nashangaa reply yako ndio ya kwanza yangu ya pili, huwa unafanyaje mkuu!!!!