Nyie ndiyo mnatuangusha! Kama hutaki kupata mimba, kwanini usipime kwanza kabla ya kusex! Vipimo vipo pharmacy bei che, unapima kama ni danger days, mnatumia condom. Ovulation test
Acheni kutuangusha Vipimo hata vya gono vipo. Huu si wakati wa kulia lia. Sasa Nenda kanunue kipimo cha mimba uone kama umenasa ili uitoe mapema. Mambo yote yapo Pharmacy