imba wimbo wa sikuukuuuu siku ile ya kuosha dhambi za ngu kuuuuuu
umwambie Mungu ahsante ...atakaekushauri kutoa na alaaniwe maisha awe mwana jf ama lah na akiwa mwanamke na asipate mtoto milele

Pdidy anayea laani na alaaniwe
nenda kawaone wataalamu wakushauri unaposema madaktari hawatakuelewa una maana gani uhai na afya ya mkeo ni kitu cha muhimu sana.
Kama ni tatizo kuwa alifanyiwa operation hii si sababu sana ya kutoa mimba, kikubwa ni kuwa mkeo atakuwa na weak scar hivyo muda wa kujifungua ukifika anatakiwa asianze uchungu coz anaweza rupture uterus mkichelwa hapa atapoteza damu nyingi na pengine akicheleweshwa sana anaweza poteza maisha.
Ushauri aende hospital apate ushauri na kama itashindikana basi ahudhurie clinic mara kwa mara, na pale anapopata tatizo kidogo aonane na Dr. Ni vema ukawa na Dr mmoja wa kumwona. Kama upo Dar mwone Dr Kamugisha huwa anashauri vema sana.
Nakutakia malezi mema
Four and a half star advice, nimeupenda sana huu ushauri, mkuu fanya hivyo, cha muhimu ni kuweza kupata solution nzuri ambayo itakuwa reasonable. Pole na majukumu mkuu. . .
Si mngetumia mpira tu jamani?
Kama ni tatizo kuwa alifanyiwa operation hii si sababu sana ya kutoa mimba, kikubwa ni kuwa mkeo atakuwa na weak scar hivyo muda wa kujifungua ukifika anatakiwa asianze uchungu coz anaweza rupture uterus mkichelwa hapa atapoteza damu nyingi na pengine akicheleweshwa sana anaweza poteza maisha.
Ushauri aende hospital apate ushauri na kama itashindikana basi ahudhurie clinic mara kwa mara, na pale anapopata tatizo kidogo aonane na Dr. Ni vema ukawa na Dr mmoja wa kumwona. Kama upo Dar mwone Dr Kamugisha huwa anashauri vema sana.
Nakutakia malezi mema
wataalamu ndo wanaweza kukushauri vzr ndugu...unaweza kuwaona na bado wakakwambia mama atajifungua salama...so kikubwa ni kuwaona kwanza kabla hamjafikiria kuitoa..na ukienda kwa dokta usimwambie km mnaitaji kutoa kwa sbb ya afya ya mama. mwambie dokta mke kapata mimba kwa bahati mbaya coz tuliambiwa atakuwa sawa baada ya kipindi fulani so tumekuja kwa ushauri then wenyewe watajua wanakusaidieni vp... pole mkuu