Mimba imeingia...mwanamke ni mgonjwa mgonjwa..tutaitowaje? Msaada jamani

Pamoja na kudai tusihusishe imani yeyote lakini naomba kunukuu:

6 Kisha BWANA akamwambia Kaini, “Kwa nini umekasirika? Kwa nini uso wako una huzuni? 7 Ukifanya lililo sawa, hutakubalika? Lakini usipofanya lililo sawa, dhambi inakuvizia mlangoni mwako, inakutamani wewe, lakini inakupasa uishinde.’’ Mwanzo 4:6-7

Neema ya Mungu iwe juu yako katika kufanya maamuzi sahihi.
 
Back
Top Bottom