Mimba huonekana kwa muda gani kwenye vipimo?

Aleyn

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2011
Messages
12,029
Points
2,000

Aleyn

JF-Expert Member
Joined Nov 12, 2011
12,029 2,000
Sasa wewe, ulikunywa P2 kuzuia mimba.

Umepima ni negative.

Unachotaka hasa ni nini?
Hahahahahahahahahahaha nadhani amechanganyiwa na maudhi ya dawa ya P2.

P2 huwa inatabia ya kujisikia kichefuchefu, pia kama zimepita siku 10 tangu anywe hapo kuna uwezekano mkubwa akakutana na dalili zake za period.

Endapo kama alikunywa siku sahihi hiyo P2 awe mpole ataziona tu.
 

Forum statistics

Threads 1,356,367
Members 518,895
Posts 33,131,309
Top