Milton Mahanga: Naomba niweke wazi, nilikuwa sitaki lakini mmezidi CCM. Acheni kunirubuni kwa fedha nirudi chama chenu

Huyu sio yule Mahanga akiwa mbunge alitapeli wananchi wa jimbo lake mpaka wakampeleka mahakamani? Na kutokana na hizo tabia za kitapeli Waziri wa Ujenzi wakati huo alikataa kumrudishia uenyekiti wa NBMM? Au anadhani waTZ tumesahau? Kwani kwenye kura za maoni CCM kugombea ubunge Mahanga si alishindwa? Sasa alijiuzulu au alikataliwa na wanachama? Na hao wanaomtaka arudi CCM ni kwamba hawajui mwenyekiti wa taifa ndiye aliyekuwa waziri wa ujenzi na kumnyima uenyekiti wa NBMM? Au wanadhani naye kasahau?
 
Kwa hili sikatai Ila chama changu ccm kikumbuke huku mtaani hakuna umeme
 
Manunuzi yakishazoeleka na kuleta uasi uliosababishwa na manunuzi mwisho ni aibu. Mubutu kilichomwangushaga ni siasa kama hizi za matumizi ya fedha.
 
Je wakipiga tunch ile nyumba ya kifahari ambayo haijamalizika pale regent estate , utaendelea kukataa??
 
Kwani hili nalo ni jipya Kwako? Jiulize ushahidi wa Nassari Uko wapi? Zaidi sana mtuhumiwa amepandishwa cheo.
Sad sad,
Vita dhidi ya Rushwa ni just a theoretical war, but practically tunajidanganya aisee
 
Kachoka kuona mijitu mizima kila wakati kumbembeleza eti njoo ccm mambo yatakuendea vizuri. Wanadhani yeye ni dhaifu na kahaba wa kisiasa kama kina MOTOCHINI? Lazima aweke tahadhari asije kuchukia bure akawalamba makofi makada wenu bure! marabuk!!
Ukoo wake tu walisha msahau
hajulikani
Ccm aje kufanyanini!
 
Katika vitu ambavyo nilipongeza CCM kuvipoteza ni hiki.
Katika vitu ambavyo CHADEMA walipiga mahesabu ya hovyo kukipokea hiki pia kimo.
hajarudi ccm kama masha lakini...he is still loyal to the party
 
bodi ya manunuzi imeusika na wakusanya kodi wamekata makato yao...? au huku VAT na kodi zingine haziusiki ??
 
Ha ha ha ameamua kutangaza kuwa naye anatamani dau.
Mtafuteni Makongoro..waziri aliyewahi kuruhumiwa na Chadema kuweka sanduku la kura kwapani na kukimbia nalo, aliyewahi kutuhumiwa na ccm kuwa waziri mzigo.
 
kwani wanakuitaji unaushawishi mkubwa sn ktk jamii?ah ah ah ntawashangaa ccm kama na wewe wanakufata
 
Waweke dau zuri mezani ulambe, hela za kuhamisha wanazo wanakosa tu za kuongezea maslahi watumishi wa umma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…