Kamnunulie shamba RUVU, kisha mnunulie vifaa vya umwagiliaji, mbegu, dawa na mpe kidogo fedha ya kuwalipa wasaidizi wa kulima. Mwambie alime BAMIA ama MATANGO. Baada ya siku 75 atakuja na ujumbe tofauti na ataendelea kuvuna kw kipindi kirefu hasa hasa BAMIA.