Millennials Generation ( Kizazi cha miaka ya 2000)

Staki❌
Sitaki✅
Asubuh❌
Asubuhi✅
Wakt❌
Wakati✅

Bado unaendelea kuniita mtoto! Sina utoto huo umri wangu naweza kua shangazi au mama yako mdogo
Unapenda kukosoa kama vile unajua lugha kumbe bwana lucas ndo kakuendekeza. Watoto wa 2000 bana, anyways kuwa na amani mdogo angu ni moja kati ya madogo wanaonifurahishaga sana humu
 
Unapenda kukosoa kama vile unajua lugha kumbe bwana lucas ndo kakuendekeza. Watoto wa 2000 bana, anyways kuwa na amani mdogo angu ni moja kati ya madogo wanaonifurahishaga sana humu
🤸Mimi mama yako mdogo
 
My son born 04 hard worker and very nice young man , kamaliza one of the best college in the world (Ivy League) na job nzuri sana, kila generation ina hao unaongelea ila sio wote
 
Hawa wa 2000 yawezekana kweli hawana nafsi kweli ,Nina kademu ka mwaka huo Ila kila kakija Geto Mara kalambe blue band ,Mara alambe sukari yaani mpaka nikawa nahisi ni msimu sio bure .
Kumbe nafsi hakana ni ka mzyuka kadogo😃
 
..hao unaowalenga born after 2000 AD ni gen Z , sio millennials/gen Y . .. millennials ni waliozaliwa 1980s-1995/6.
Maono yako pia yazingatiwe
Generation Z kwamba ndo generation ya mwisho ama?
 
Hawa wa 2000 yawezekana kweli hawana nafsi kweli ,Nina kademu ka mwaka huo Ila kila kakija Geto Mara kalambe blue band ,Mara alambe sukari yaani mpaka nikawa nahisi ni msimu sio bure .
Kumbe nafsi hakana ni ka mzyuka kadogo😃
Na ndo wanasumbua balaaaa.... watoto wa 2000 ni kwikwi
 
My son born 04 hard worker and very nice young man , kamaliza one of the best college in the world (Ivy League) na job nzuri sana, kila generation ina hao unaongelea ila sio wote
Kusoma sana au kuwa na akili havihusiani na inclination ya nafsi. Hata hawa wa 2000 wapo vere sana darasani.
 
1. Greatest generation (1900- 1925)
2. Silent Generation (1928 - 1945)
3. Babyboomers (1945 -1960's)
4. Generation X(1960s -1980's)
5. Generation Y or Millennials (1977 - 1990's)
6. Generation Z (from 1995 up to current)
7. Generation Alpha (kizazi cha watoto wa Generation Y au millennials na pia ni siblings wa hawa generation Z)

Anyways, mleta uzi umejitahidi sana kwa contents zako kwenye huu uzi na ni kupongeze, ingawa umeteleza kidogo hapo kwenye generation kuwaita millennials ni zao la miaka kuanzia 2000 jambo ambalo nadhani nitakushauri ukajielimishe tena au pengine ulichapia tu hapo katika kuandika kwako.

Anyways nimekulistia hapo juu hizo categories za generations zote hadi za sasa then naomba ukasome zaidi uje kutuletea madini zaidi.

Shukurani kwa andiko zuri sana na la kuelimisha.
 
Mkuu huu uzi ume-copy Kwa badison
 
Duuh!
Hawa vijana wetu wapumzisheni mtawaua kwa kuwasema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…