C chamng Member Joined Aug 21, 2012 Posts 30 Reaction score 10 Sep 27, 2012 #1 haya ni majembe Tanzania kwenye tasnia ya uandishi wa habar ...je unampa nan shavu kat yao???
Leak Platinum Member Joined Feb 22, 2012 Posts 52,939 Reaction score 43,569 Sep 27, 2012 #2 Habari gani wamesha andika? Naomba japo dondoo za habari walizo andika!
Nyani Ngabu Platinum Member Joined May 15, 2006 Posts 97,092 Reaction score 136,658 Sep 27, 2012 #3 Hao ni radio djs na siyo waandishi wa habari.
Luno G JF-Expert Member Joined Sep 22, 2012 Posts 2,550 Reaction score 1,852 Sep 27, 2012 #4 tatizo vipindi wanavyovifanya vipo tofauti kidogo, B12 anasikilizwa sana na vijana wakati Millardayo anasikilizwa na watu wa lika zote
tatizo vipindi wanavyovifanya vipo tofauti kidogo, B12 anasikilizwa sana na vijana wakati Millardayo anasikilizwa na watu wa lika zote
Ragnar Fluke JF-Expert Member Joined May 22, 2012 Posts 374 Reaction score 118 Sep 27, 2012 #5 ??? Napita wadau!!
ALLEX JF-Expert Member Joined Mar 15, 2011 Posts 2,006 Reaction score 346 Sep 27, 2012 #6 Haya wamekwisha anza.....
lutayega JF-Expert Member Joined Feb 29, 2012 Posts 1,298 Reaction score 568 Sep 27, 2012 #7 Sijawi kuona habari walizoandika au kusikia
BAGAH JF-Expert Member Joined Jan 17, 2012 Posts 4,523 Reaction score 1,060 Sep 27, 2012 #8 chamng said: haya ni majembe Tanzania kwenye tasnia ya uandishi wa habar ...je unampa nan shavu kat yao??? Click to expand... nimeelewa hapo tu... haswa b12 ni jembe na mpini wake naujua...simo!
chamng said: haya ni majembe Tanzania kwenye tasnia ya uandishi wa habar ...je unampa nan shavu kat yao??? Click to expand... nimeelewa hapo tu... haswa b12 ni jembe na mpini wake naujua...simo!
N Nzagamba Yapi Senior Member Joined Sep 1, 2011 Posts 167 Reaction score 72 Sep 27, 2012 #9 Namkubali sana millard ayi,ni kijana mbunifu kuanzia redioni na website yake,millardayo.com Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Namkubali sana millard ayi,ni kijana mbunifu kuanzia redioni na website yake,millardayo.com Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
mkonowapaka JF-Expert Member Joined Feb 19, 2010 Posts 1,492 Reaction score 771 Sep 27, 2012 #10 b12 si ndo mnasemaga wanamfanyaje sjui
Inside10 JF-Expert Member Joined May 20, 2011 Posts 33,659 Reaction score 40,263 Sep 27, 2012 #11 Hao ni radio presenters amabao wamepatkana kuptia presenters star search sasa huo uandishi wa habari sijui wameujulia lini?
Hao ni radio presenters amabao wamepatkana kuptia presenters star search sasa huo uandishi wa habari sijui wameujulia lini?
Ragnar Fluke JF-Expert Member Joined May 22, 2012 Posts 374 Reaction score 118 Sep 27, 2012 #12 BAGAH said: nimeelewa hapo tu... haswa b12 ni jembe na mpini wake naujua...simo! Click to expand... Umo ila unaficha ukwel!
BAGAH said: nimeelewa hapo tu... haswa b12 ni jembe na mpini wake naujua...simo! Click to expand... Umo ila unaficha ukwel!
Yo Yo JF-Expert Member Joined May 31, 2008 Posts 11,210 Reaction score 1,738 Sep 27, 2012 #13 Luno G said: tatizo vipindi wanavyovifanya vipo tofauti kidogo, B12 anasikilizwa sana na vijana wakati Millardayo anasikilizwa na watu wa lika zote Click to expand... rika.....
Luno G said: tatizo vipindi wanavyovifanya vipo tofauti kidogo, B12 anasikilizwa sana na vijana wakati Millardayo anasikilizwa na watu wa lika zote Click to expand... rika.....
blogger JF-Expert Member Joined Mar 13, 2012 Posts 13,398 Reaction score 16,734 Sep 27, 2012 #14 yani mmebishana mtaani mkashndana ukaamua ulete hapa...
blogger JF-Expert Member Joined Mar 13, 2012 Posts 13,398 Reaction score 16,734 Sep 27, 2012 #15 Yo Yo said: rika..... Click to expand... huyo Luno G anaweza akawa ney wa mitego.....hana "r" Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Baraka F.K Member Joined Aug 28, 2012 Posts 79 Reaction score 28 Sep 27, 2012 #16 Remote said: Hao ni radio presenters amabao wamepatkana kuptia presenters star search sasa huo uandishi wa habari sijui wameujulia lini? Click to expand... Nani kati yao aliyepatikana kwa presenter search? Acha kukariri
Remote said: Hao ni radio presenters amabao wamepatkana kuptia presenters star search sasa huo uandishi wa habari sijui wameujulia lini? Click to expand... Nani kati yao aliyepatikana kwa presenter search? Acha kukariri
Inside10 JF-Expert Member Joined May 20, 2011 Posts 33,659 Reaction score 40,263 Sep 27, 2012 #17 Baraka F.K said: Nani kati yao aliyepatikana kwa presenter search?Acha kukariri Click to expand... b12 wakat anapatkana nlkuwepo pale bilcanass
Baraka F.K said: Nani kati yao aliyepatikana kwa presenter search?Acha kukariri Click to expand... b12 wakat anapatkana nlkuwepo pale bilcanass
Bavaria JF-Expert Member Joined Jun 14, 2011 Posts 53,092 Reaction score 53,568 Sep 27, 2012 #18 Millard ayo.
Ginner JF-Expert Member Joined May 8, 2011 Posts 1,576 Reaction score 2,218 Sep 28, 2012 #19 Remote said: b12 wakat anapatkana nlkuwepo pale bilcanass Click to expand... si kweli...b 12 alianza tasnia ya utangazaji akiwa arusha chini ya kapten gadner g habash aliekuwa mkurugenzi katika kituo cha matangazo ya kibiashara cha clouds. kapten ndiye aliemintroduce # kumi nambili kwenye ramani ya utangazaji
Remote said: b12 wakat anapatkana nlkuwepo pale bilcanass Click to expand... si kweli...b 12 alianza tasnia ya utangazaji akiwa arusha chini ya kapten gadner g habash aliekuwa mkurugenzi katika kituo cha matangazo ya kibiashara cha clouds. kapten ndiye aliemintroduce # kumi nambili kwenye ramani ya utangazaji
Luno G JF-Expert Member Joined Sep 22, 2012 Posts 2,550 Reaction score 1,852 Sep 28, 2012 #20 Yo Yo said: rika..... Click to expand... thanx hizi kitu "r" na "l" huwa zinanichanganya sana