Tetesi: Millard Ayo Aacha kazi CloudsFM

Status
Not open for further replies.
KizunguMukuti, kumbuka neno "role model" kwa hiyo sio mbaya Millard Ayo kuiga ilimradi hafanyi sawasawa na kina Ryan secrest.
 
Ivii mwanaume kuwa mbea kunafaida gani....millardayo jana kasema anamalizia kazi usa baada ya hapo anarud sas huo umbeaaa wako umeupata wapi toto la kiume
 
Mi sijawahi kutoka nje ya bongo. Nimetembea mikoa 8 tu.
Hivi nyie wenzetu mliotembea nje ya nchi na huko kuna watu wana wivu kama wabongo? Manake khaaa!
 
Hivi unadhani usa ni kama buku?acha kabisa kule kunawatu hatari kwwnye hiyo taaluma
 
Kichwa kama embe bolibo bichi
 
Duuh! We ni ME au KE? Uko Dar au Mkoani?
 
[QUOTE="myplusbee, kama amewaiga Ryan na Ramero ina maana wote hao tone/utangazaji wao umefanana na kwahiyo, kwa maelezo kuna mmoja kamuiga mwenzake![/QUOTE]

Pointi, watu wana roho mbaya!!!!
 


hata mess na ronaldo kuna watu walikuwa wanapenda kuwaiga na kuvifanyia kazi vile vizuri toka kwa marol modo wao kwa nini tunachuki kiasi hiki?
 
Bwashe, taja mtu mwingine ambaye huyu kijana anamuiga but Ryan, there's nothing in common btn the two. BTW, namfuatilia sana Ryan.
 

Vitu vingi hapa duniani Watu wanakopi Na kupesti.Huyo Ryan secrest Na Ramero nao hawakuzaliwa ma DJ.Milad Ayo anastahili sifa Hata Kama haumpendi.
 
Hebu JIUGUZE POLE na kipande hiki cha shoo cha Mfaulme wa muziki E.A, hebu msikilize huyo MC anavyomtambulisha DIAMOND jukwaani na shangwe iliyotoka hapo.
 
Nothing comes easy....
More practice make it perfect......
Good things comes to those who fight for it......
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…