Military action against Iran's nuclear program?

Has the time come for military action against Iran's nuclear program?

  • Yes. Military options should be considered.

    Votes: 2 50.0%
  • Not yet. Sanctions should be given more time to work.

    Votes: 1 25.0%
  • No. Iran has the right to freely pursue its nuclear program.

    Votes: 2 50.0%
  • I don’t care.

    Votes: 0 0.0%

  • Total voters
    4
  • Poll closed .

October

JF-Expert Member
Oct 5, 2009
2,145
92
Has the time come for military action against Iran's nuclear program?

Please vote!!!
 
Yes, Israel wakati wowote inaweza ikafanya hivyo, kama vile tu ilivyofanya kwa Iraq miaka ile. kitu kizuri ni kwamba, iran inayo makombora yanayoweza kufika hata Tel Aviv Jafo, lakini Israel wanayo technologia ya kuyadaka makombora yote hayo ya iran. pia, iran haijafikia kiwango cha kutengeneza bomb hivyo it is not time for Israel to do that, kuna vyombo vinachunguza usiku na mchana, israel wanayo ramani yote, hivyo wakati wowote wakishaona hapa kuna dalili ya kukamilika kwa bomb, lolote laweza kutokea bila kuomba ruhusa toka kwa mtu yeyote. Nenda kasome magazeti ya Jerusalem kwenye mtandao, soma na maeneo mengine utaona mengi kuhusu hili. Iran still ni mtoto mdogo sana kwa israel na USA.

the only salvation ya iran ni Hezbolah na Hamas, wafanye kama walivyokuwa wanafanya kipindi kile Lebanon, lakini cha ajabu ni kwamba, hata wakifanya hivyo, wanaoumia si raia wa israel, ni raia wa kiarabu tu. hivyo, kwa upande wangu, nasubiri na ninaomba Mungu nguvu ya kijeshi itokee hata leo hii kuiteketeza iran na Ahmadinejad wake.
 
Thubutu...wajaribu waone..cha moto..option walioyonayo ni kutengeneza kikundi cha kigaidi (financied by US and israel) ianze ku-bomu Tehran..military invasion ..iran is out of touch lol. kelele..tu israel na US..damn
 
Back
Top Bottom