Milipuko yazikumba hoteli Jakarta-Indonesia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Milipuko yazikumba hoteli Jakarta-Indonesia

Discussion in 'International Forum' started by MaxShimba, Jul 20, 2009.

 1. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #1
  Jul 20, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Milipuko yazikumba hoteli Jakarta-Indonesia


  [​IMG]
  Watu tisa kwa uchache wamefariki dunia na wengine wengi kujeruhiwa katika milipuko ya mabomu iliyozikumba hotel mbili maarufu mjini Jarkata nchini Indonesia.

  Milipuko hiyo inayosadikiwa kusababishwa na mashambulizi ya kujitoa muhanga imetokea kwa tofauti ya sekunde chache katika hoteli za Ritz-Carlton na JW Marriott ambazo zipo umbali wa takribani kilometa moja.milipuko hiyo iliyotokea saa 1:30 asubuhi kwa saa za Jarkata sawa na 9:30 alfajiri Afrika Mashariki, iliwakuta wateja wengi wa hoteli hizo wakipata kifungua kinywa.

  Mlipuko mwingine uliripotiwa kutokea kaskazini mwa Jarkata muda mchache baadae,
   
 2. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #2
  Jul 20, 2009
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Si wanasema kuwa hii ni nchi yenye waislamu wengi zaidi duniani? Si ajabu!
   
 3. M

  MWENDAKULIMA JF-Expert Member

  #3
  Jul 20, 2009
  Joined: Jul 17, 2009
  Messages: 961
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  aaargh... Buchanan,unataka kuwasha moto wa udini tena kina Mfumwa watakushukia!! shauri yako
   
 4. Robweme

  Robweme Senior Member

  #4
  Jul 20, 2009
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 178
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mkuu mwendakulima, kwani ukisikia milipiko ya kujitoa mhanga si unafahamu akina nani wameusika hamna haja ya kuuliza.
   
 5. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #5
  Jul 20, 2009
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Tumeshawazoea.
   
 6. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #6
  Jul 20, 2009
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Hawa jamaa huwa wanaeneza dini vizuri sana mahali pa machafuko. Ndio maana huwa wanaanza claim za ajabu ajabu za mara wanaonewa. Haya yote ni kujitegeshea ili wapate sababu ya fujo na ndio wakati muafaka kwao kueneza dini yao. Wao huwa akili hawajui kutumia, ni mabavu mtindo mmoja!
   
 7. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #7
  Jul 22, 2009
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  wanatia kichefuchefu dunianiii, hawataki watu waishi kwa starehe na usalama, wanajilipua tu. laiti huko wanakoenda angerudi hata mmoja wao, angewaambia kuwa wahame kabisa hata iyo dini. inaudhi sana kwakweli.atu wanampigania mungu wao,mungu gani hana nguvu hata apiganiwe huyo?
   
 8. M

  Malyamungu JF-Expert Member

  #8
  Jul 22, 2009
  Joined: Jul 5, 2009
  Messages: 363
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Images of Jakarta bombers released
  [​IMG] Indonesian police spokesman Nanan Sukarna shows a sketch of the JW Marriott and Ritz-Carlton hotel suicide bombers. Photo: AFP

  July 22, 2009 - 5:00PM
  Indonesian police released digital images today of the reconstructed faces of two suspected suicide bombers who attacked luxury hotels in Jakarta last week, killing seven people.
  The images are being shown to witnesses as part of the investigation into Friday's attacks on the JW Marriott and Ritz-Carlton hotels in central Jakarta, the first major terror attack in Indonesia since 2005, police said.
  The images were based on two severed heads found at the bomb sites which are believed to have belonged to the bombers, suspected members of the Jemaah Islamiyah regional extremist network or one of its offshoots.
  Top's wife detained: report

  Meanwhile, Indonesian television is reporting that one of the wives of Southeast Asia's most-wanted militant has been detained.
  Anti-terrorism police detained Ariana Rahma, who is married to Malaysian fugitive Noordin Mohammad Top, the channels reported without sourcing.
  Broadcasters TVOne and MetroTV said on Wednesday that she is to be questioned by police in the capital, Jakarta.
  Noordin allegedly planned the 2002 and 2005 Bali bombings and attacks on the JW Marriott and Australian Embassy in 2003 and 2004. Together they killed more than 240 people.

  AFP/AP
   
 9. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #9
  Jul 22, 2009
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Halafu wanataka kuleta hayo Tz. Nakuambia tukikubali mambo ya udini hapa hapatosha, patazidi Indonesia, Pakistan, Durfur, Iraq, Iran, ...you name all. Nakumbuka chama cha CUF wakipita na zile Bendera zao unakuta wamechora scull kwenye bendera zao na majina ya nchi zile mashuhuri kwa vita vya kidini. Hivi mnazikumbuka..... tukumbushane please!!! Halafu uniambie eti hata kwa vyama vya upinzani baadhi nina mashaka navyo kama tukiwatupia hii nchi, late Nyerere alisema, sitakubali ku-trow the country to the dogs. Alifafanua but he meant a lot!!!! kwa mapana yake. Let us be serious!!!
   
 10. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #10
  Jul 22, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Mujahidinas hao
   
 11. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #11
  Jul 23, 2009
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Nilijua tu watakuwa wao! Ogopa sana kitu kinaitwa 'madrasa', huwa kinafanya akili inakuwa na ulemavu. Unakosa kabisa objective thinking!
   
 12. B

  Bull JF-Expert Member

  #12
  Jul 23, 2009
  Joined: Nov 4, 2008
  Messages: 984
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kaeni tu makanisani mfumbe macho, msubiri mkate wa bwana. Wavivu wa kufikiri!!!

  Mnashindwa hata kufanya basic analysis kwanini haya yote yanatokea.
   
 13. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #13
  Jul 24, 2009
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Ok, tumwagie data mwenzetu uliyefanya sio basic tu hata ikiwezekana critical analysis ya yaliyotokea!
   
 14. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #14
  Jul 29, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Waislam bwana, akh, sijui wameingiwa na kitu gani.
   
Loading...