milioni sita gar

milioni sita gar

Chezea mtu akiwa amepiga kilaji wewe...Heading 6M, ndani 5M...teh teh
 
Naona umeshajipa discount kabisa ya milioni moja nzima, iko pouwa utapata kwa hiyo 5m
 
Ninayo mkuu, hebu ni PM tuongee. Ila utaongeza kidogo kama m0.5
 
Aina gani ya gari? Ipo GR MARK II! ya 1994, yenye hali nzuri babisa. Bei ni 5,500,000 tu. Piche na atachi kesho uione.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom